Jumatano, 3 Julai 2013

Mwendelezo wa picha

Mtumishi Kangajaka akimwombea mmoja wa wana semina waliohudhuria katika semina

Picha za mahubiri ya semina ya ndoa siku ya tatu inayoendelea katika kanisa la KKKT usharika wa korogwe





SEMINA YA NDOA


NDOA NA FAMILIA
  Kama tulivyo kwisha ona kwamba ndoa sio mkataba  na kama Mhashamu Baba Askofu Dr Steven E Munga alivyo tufundisha.Ni kweli kwamba ndoa ya kikristo sio mkataba bali ni Agano,sababu mkataba unalindwa na sheria bali Agano sivyo ni kuaminiana(Trust)
   Hivyo ndoa ilianzishwa na Mungu mwenyewe Mwanzo 2:24 (Therefore a man shall leave his father and mother and joined to his wife and they shall become one flesh)na Mt  19:4-6 .Yesu aliibariki harusi kwa kuwepo kwake na kutenda muujiza Yn 2:1-11 Lakini je ni kweli katika ndoa zote za kikristo Yesu anahusiswa?Yesu anaalikwa?Hapo ndipo penye tatizo na kugundua kwamba si kila ndoa imeunganishwa na Jehova.Wengine wameunganiswa na tama zao tu na ndio maana hizo zinabaki kwenye mkataba na sio agano Yesu kuwepo kwake lazima kuwe na relationship ya mtu na Mungu uwepo wake maana yake roho wake au mkono wake wengine wameolewa na madawa yaani ngekewa hapo shida tupu acha ugomvi na ubinafsi Mungu anakuunga nae naye huondoa ubinafsi sio vinginevyo hapo ndio kuambatana kuna kuwepo
Inaendelea........................................... .........

Ufunuo ilipoishia


Ilipoishia...................

Mungu anataka afanye matembezi yake  kukombolewa kwa Roho ya ubinafsi ana mazoea hii inafanya kunyoshea baadhi ya watu mikono mana sio wale tuliwatazamia kufanya au kufanyika katika lile tulilo tazamia,Ondoa mazoea ya kale anatembea kwa njia mpya usiwe na hamaki hakikisha unaungwa na nira yake ili usije bakia mhudumu wa andiko bali wa Roho nwe utakuwa na usawa na bwana mtavuta pamoja kusudio lake hapo tutaelewa mahusiano kamili ya andiko bali wa Roho nawe utakuwa na usawa na Bwana mtafuta pamoja katika kusudi lake.Hapo tutaelewa mahusiano kamili a andiko na sauti yake Yn 16:7 (Lakini mimi nawaambia iliyo kweli,yafaa ninyi mimi niondoke,kwa maana mimi nisipoondoka,huyo msaidizi hatakuja kwenu,bali mimi nikienda zangu nitampeleka kwenu)Ondoa hali ya andiko tu ruhusu Roho wa neon ndio Roho wa ufunuo utapata faida ya ndani kwa wakati uliopo na ujao,ondoa kiburi cha elimu ya maandiko pasipo Roho kuhusika hutaona nguvu ya utendaji,ndio maana Paulo anasema 1Kor 2:4 (Na neno langu na kuhubiri kwangu hakukuwa kwa maneno ya hekima yenye kushawishi akili za watu,bali kwa dalili za Roho na za nguvu)Ushawishi wa Roho ndio uletao tofauti sio akili na ujenzi wetu,Ondoa mazoea ya kale.Mungu ameshamleta Roho wake ataka kutusaidia kukua na kufika katika kimo chake Yesu na kumuona katika huduma.Tusipo bwana katika hao aliowatuma hatutamwona kabisa.Tii agizo.Ombea Israeli ili ujiambatanishe na shina la baraka
*ANGALIZO:Mungu amehuzunishwa na watumishi wanaotumia karama zake kwa faida zao nao wameacha kundi na kusudi la wito wao.Wanaponya jeraha za watu juu juu tu Yer 13:20
Hili ni swali.Sababu kondoo wameingizwa katika uharibifu maana wao wameangalia mambo yao Yer 6:13-15 Pasipo kusimama na kuomba rehema upo uharibifu maana hasira yake imejaa kikombe.Epuka kuyachukua maneno haya kirahisi rahisi tu,nimeona umwagaji wa damu mkuu tangia tarehe za mwazo wa mwezi wa sita 2012 nimeona hali isiyo ya kawaida ndani ya Taifa langu Tanzania sisi wana wa Mungu tuache ujuaji tujifunze kunyenyekea na kutii kasha tufanye huduma a urejesho,upatanishi,ipo Roho ya mfarakano na ubinafsi.Tutubu na tuzidi kunyenyekea mbele za Mungu aiponye nchi na kulinda vyombo vyake,Ondoa malalamiko ombea uongozi wa kiroho na wa kikanisa na wa kiserikali tusitegemee Mungu kujieleza katika njia tulizozizoea Yn 16:12 Sasa ni juu yako kusikia sauti yake ikigonga na kutubu kwa ajili yetu wenyewe na uongozi wetu na familia zetu kwa kukusekana Roho wa umoja hii imeawaingiza wengi katika roho ya uharibifu pambano la giza na nuru litaongezeka.Waoga wa mafundisho watapiga vita vitu vya ufunuo nao watajaribu kuzuia na kuzima vipawa vya huduma vinavyoinuka (Jaribuni mambo yote kasha shikeni lililo jema)
Mkristo utajaribiwa zaidi ya kukataliwa na wale wa ufalme wa giza lakini nuru itashinda.Mungu ataruhusu hayo kutokea ili kusaidia kufunua na kutukomboa tokania zetu mbaya,maana wale watakaokusema vibaya na kukukataa ukisikia na kujua kwamba wamekukataa usionyeshe chuki na kukasirika,Ukionyesha chuki na hasira ni alama ya utoto,kua na ufe kwa habari ya ulimwengu na heshima zake elewa maiti haisikii kua inakataliwa,endelea kuonyesha pendo la Mungu kwao.Beba hali zote za kupigwa na kukataliwa pasipo kiji offend 1Kor 13:4-17,Flp 1:9,Rum 11:29 na Yer 6:17 Ni dua yangu tupewe macho na masikio.ona katika Spiritual domain Mungu ainue viongozi wenye moyo wa uzazi ili kumtayarishia Bwana njia.Hili sio Fumbo ni ujumbe uko wazi Isaya 59:19