Jumamosi, 28 Juni 2014

NENO LA UFUNUO KWA DADA HUYU ALIYEKUWA ANASUMBULIWA NA TATIZO UVIMBE KWA MIAKA MINGI NA MGUSO WA YESU ULIPOMGUSA ALIPATA MUUGIZA WAKE WA KUONDOLEWA UVIMBE HUO

 Ni katika ibada ya Kwanza wakati Mtumishi wa Mungu akihubiri Juu ya Karama za Roho Mtakatifu alipata ufunuo wa Roho Mtakatifu Juu ya Tatizo la Uvimbe lililokuwa linamsumbua Dada Huyu Ambapo alieleza ya kwamba amezunguka sana katika hospitali nyingi sana Bila mafanikio ila kwa Mkono wa Yesu Dada huyu ameondolewa Uvimbe wake


Mtumishi akimwekea Mkono katika Uvimbe na kwa mkono wa Yesu uvimbe ulipotea

Kwa mengine mengi endelea kufuatilia katika ukurasa wetu wa facebook https://www.facebook.com/yohana.kangajaka.3

Picha katika Ibada KKKT Usharika wa Korogwe ambapo Mtumishi Yohana Kangajaka anaendelea na Semina ya Neno la Mungu

 Waimbaji wa kikundi cha kusifu na kuabudu wakimsifu Mungu kwa Nyimbo na kucheza kabla ya Mtumishi kuanza mahubiri ndani ya Ibada ya kwanza KKKT Korogwe

Tunacheza kwa Yesu Mwimbaji Joseph Singano akiongoza Kikundi cha kusifu na kuabudu kwa nyimbo

Maombezi Katika Semina inayoendelea Hapa KKKT Usharika wa Korogwe

 Fire of Holy Spirit [Mtumishi Yohana Kangajaka akifanya maombi kwa Dada huyu aliyekuwa na nguvu za Giza ila kwa Jina la Yesu yalitii na kumwachia dada huyu Huru] JINA LA BWANA YESU LIBARIKIWE

"be out in Jesus name" Mkono wa Kinabii unapokugusa na nguvuya Mungu nayo inashuka kwa Jina la Yesu Dada huyu alifunguliwa katika shida aliyokuwa nayo ya Nguvu za Giza

 Mchungaji Moses Shemweta [Mkuu wa dinari ya Tambarale] akifuatilia semina inayoendelea Korogwe mwalimu wa Semina Akiwa Mtumishi wa Mungu Yohana Kangajaka


PROPHETIC WORDS

 Mama huyu alipewa neno la kinabii kuhusu ugonjwa wake uliokuwa unamsumbua ila Yesu alimponya papo hapo kupitia mtumishi wake @yohana kangajaka