Jumatano, 26 Novemba 2014

YOHANA 8:32

NENO KUU LA MKUTANO
YOHANA 8:32 And He shall know the truth and the truth shall make you free (*Tena mtaifahamu kweli na hiyo kweli itawaweka Huru)

Lipo uhitajikatika kanisa la leo la kufunguliwa kutoka katika vifungo kwa njia ya ufahamu wa kumjua yeye afunguaye naye ni Yesu kwa njia ya kutoa kipaumbele cha kila mmoja katika ukweli wa neno la Mungu tukiwa na true knowledge katika Mungu asemacho ili tusiishi chini ya viwango na kugandamizwa na nguvu za giza na kama wakrisisi ni vichwa sio mikia sisi ni zaidi ya washindi tunahitaji kuona ukombozi wetu na watoto wetu,na wa mali zetu,tni pale tu tutakapoifahamu kweli Yesu amekuja ili tuwe na uzima kisha tuwe nao tele.Jicho la ufahamu wetu likomboe maisha yetu kwa njia ya kumtazama Yesu wala sio mtume fulani wa kututoa katika vifungo wala nabii fulani Yesu ndio njia ya ukombozi wetu
by !@yohana kangajaka

Nguvu za Mungu zinavyofanya kazi ya Kufungua watu katika vifungo mbalimbali Kwa Jina la Yesu




MTUMISHI YOHANA KANGAJAKA AKIWA KATIKA HUDUMA YA MAOMBEZI PAMOJA NA TIMU YA SPIRITUAL VOICE MINISTRY

Jumanne, 25 Novemba 2014

MKUTANO WA KIROHO UNAOENDELEA MAGAMBA LUSHOTO

 MTUMISHI YOHANA KANGAJAKA AKIHUBIRI KATIKA MKUTANO HUO JUU YA LAANA AMBAZO ZINATOA UHURU WETU KWA YESU
SOMO YOHANA 8:32






Jumamosi, 22 Novemba 2014

MKUTANO WA KIROHO DKMs KKKT MAGAMBA USHARIKA WA COST KANISANI

MKUTANO WA KIROHO MAGAMBA 23 november hadi 30 2014
MTUMISHI YOHANA KANGAJAKA NA TIMU YAKE YA SPIRITUAL VOICE ATAHUDUMU KWENYE MKUTANO HUO
mahali ni katika viwanja vya KKKT USHARIKA WA MAGAMBA DKMs
TUNAWAKARIBISHA WATU WOTE,WADINI ZOTE, NA KABILA ZOTE 
NJOO UPOKEE MUUGIZA WAKO NA WALETE WAGONJWA NA WATU WENYE SHIDA MBALIMBALI WATAOMBEWA NA KUPONA KWA JINA LA YESU 
MUDA NI kuanzia SAA 09:00 Mpaka 12:00 jioni
NYOTE MNAKARIBISHWA

Jumatano, 29 Oktoba 2014

MAKUTANO WAKIWA WANA FURAHIA MOJA YA WIMBO ULIOIMBWA NA MTUMISHI WA MUNGU NA WENGINE WAKISIKILIZA KWA MAKINI UJUMBE ULIOKUWA NDA YA WIMBO HUO

SIKILIZA NENO LA MUNGU KUPITIA KWA MTUMISHI YOHANA KANGAJAKA




MTUMISHI WA MUNGU AKIFANYA MAOMBEZI WA KATI WA MKUTANO NA WATU WAKIFUNGULIWA KUTOKA KATIKA VIFUNGO  VYA MUOVU SHETANI
MAKUTANO WAKIFUATILIA UJUMBE WA NENO LA MUNGU WAKATI MKUTANO WA INJILI
WASHSRIKA WAKIFUATILIA UJUMBE WA NENO LA MUNGU WAKATI WA IBADA
MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA AKIHUBIRI SIKU YA UFUNGUZI WA IBADA YA MKUTANO WA INJILI USHARIKA WA ERERAI
USHARIKANI ERERAI KANISA KUU WAMBAPO AMBAPO MKUTANO   WA INJILI UNAFANYIKA HAPA KARIBU SANA UONE MUNGU AKITENDA KUPITIA WATUMISHI WAKE

MAKUTANO WAKIFUATILIA UJUMBE WA NENO LA MUNGU WAKATI WA MKUTANO WA INJILI ULIYOFANYIKA KANISA LA KKKT USHARIKA WA ERERAI ARUSHA

Ijumaa, 17 Oktoba 2014

Alhamisi, 16 Oktoba 2014

TOKA KATIKA UHURU WA BENDERA  Yoh 10:10
Lipo hitaji la ufahamu katika kanisa la leo haswa kuhusiana na laana na ukombozi Mungu kamwe hambariki mjinga. Bali wenye ufahamu (intelligence and true knowledge ) katika kile Mungu asemacho
Wengi wanaishi katika kushindwa  na wanashangaa ziko wapi ahadi za ushindi kwa wana wa Mungu.Biblia inatuambia sisi ni vichwa sio mikia inatujulisha kuwa sisi ni zaidi ya washindi  Je Twaweza ishi katika level hiyo?
Tunahitaji mkombozi maana zipo nguvu katika ulimwengu war oho zinazo haribu Baraka zote , Afya zetu mafanikio yetu . I wapo hutakombolewa  nazo zitakupindisha hadi ushindwe kuona ahadi zake.
Tunahitaji kuona ukombozi katika mali zetu , watoto wetu, kazi zetu , biashara zetu. Tunataka ona mbadiliko pia tunataka kuyafurahia Maisha kuburudishwa katika ndoa zetu na tusitamani kufa mapema hadi umwambie yesu upesi (life is so sweet) usiwe miongoni mwa hao wanaotka wakaburudishwe Mbinguni hata hapa Mungu anataka atuburudishe.
Uzima tele vipi leo katika biashara mkia darasani mkia katika ofisi mkia sio mpango wa Jehova. Jesus came that we may have life and that we may have it more abundantly.Jicho la ufahamu likomboe maisha yako. Laana ni lugha ya dhambi au makosa tuliofanya au yaliofanywa na wakale. Ndio inaitwa Laana yale matokeo ambayo yanafanya kazi kuharibu hatima yako .Huharibu na kuzuia yale unayopaswa kuyapata wakati mwingine ni yakushindwa kutii yale Mungu alichosema . Kumb 28:15-16 (lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya Bwana , Mungu wako, usiangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake,nikuaagizazo hivi leo, ndipo zitakapokujua laana hizi zote na kukupata .uta laaniwa mjini, utalaaniwa  na Mashambani.
Hata uhame mji au kazi au biashara viko vizuizi vya mafanikio yako vitakufuata .Lazima awepo wakuvisemea sio Askari wako wala Mtume wala Nabii  wala kiongozi wa Dini Mungu mwenyewe mjue ili  uwe huru    yoh 8:32  (Tena mtaifahamu kweli, na hiyo kweli itawaweka huru.) 1kor 6:16-18 (Au hamjui yakuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili umoja naye? Maana asema ,wale wawili watakao kuwa mwili mmoja. Lakini yeye aliyeungwa na Bwana ni roho naye .ikimbieni zinaa .Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwli wake;ila yeye afanyaye zinzaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe .)Kumbuka hata kuzungumza neno la kweli safi toka kwa Mungu nihadi uwe umekombolewa na hofu za watu.( We can speak apure word from God unit we are delivered  from the fear of man and desire for man’s recognition and acceptance .) mpendwa haijalishi kukubaliwa na watu  kombolewa na hofu za watu uwe na hofu ya Mungu kombolewa toka kikabila cha watu. Tusitazame mambo kwa interest za watu huo ni mtego (it will be stumbling block.


Mtumshi wa MUNGU Nasari Elietha wakipeana mkono na Mtumishi Yohana Kangajaka katika semina ya neno la MUNGU ulilofanyika katika kanisa la KKKT Mkanjuni Tanga


Haleluya tunamshukuru mungu kwa kutupa siku nyingine ambayo tumeona nguvu zake zikitenda kazi kupitia mchungaji Yohana Kangajaka sasa tupo tanga katika semina ya neno la MUNGU kwenye Usharika wa mikanjuni kanisa la KKKT

Jumamosi, 13 Septemba 2014

Jumatatu, 25 Agosti 2014

MAKUTANO WAKIONGOZWA SALA YA TOBA NA MTUMISHI WA MUNGU EV VAILET MTANI JINA LA BWANA LIBARIKIWE
MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA AKIHUBIRI WAKATI WA MKUTANO

UFALME WA ADUI ULIFITINIKA KWA KIWANGO CHA JUU BAADA YA KIONGOZI WA KAMBI YA WACHAWI KUKAMATWA
KILIKUWA NA NGUVU ZA MUNGU ZA KIWANGO CHA JUU KATIKA KUPONYA NA KUFUNGUA
MAKUTANO WAKISIKLIZA UJUMBE WA NENO LA MUNGU HAPA MWIKA KIRUENI JINA LA BWANA LIBARIKIWE
MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA AKIHUBIRI KATIKA MKUTANO WA INJLI MWIKA KIRUWENI
MTUMISHI WA MUNGU MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA AKIIMBA NA MWIMBAJI EMMANUEL NKYA KATIKA IBADA YA MKUTANO WA INJILI MARANGU MWIKA USHARIKA WA KIRUWENI
WATUMISHI WA MUNGU KULIA NI MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA KATIKATI EV VAILET MTANI KUSHOTO MWIMBAJI EMMANUEL NKYA NYUMA NI MWALIMU JAMES KAMERA WAKIJADILI JAMBO KWA AJILI YA HUDUMA MARANGU MWIKA KIRUENI  JINA LA BWANA LIBARIKIWE

HALELUYA TUNA MSHUKURU MUNGU MAANA BADO ANA TUPIGANIA NA SASA TUPO MOSHI MARANGU KWA HUDUMA TUMEONA MKONO WA MUNGU UKITENDA KAZI KWAKUWAFUNGUA WALIOFUNGWA NA KUOKOA KATIKA MILIMA HII

Jumapili, 17 Agosti 2014


BABA ASKOFU KIMBE AKIHUBIRI WAKATI WA IBADA YA NDOA KATI YA MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA NA JOYCE RAUO
KUNA FURAHA YA NAMNA YAKE SIKU AMBAYO BWANA AMEIFANYA MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA AKIWA ANAJIBU SWALI ALILO ULIZWA NA BABA ASKOFU KIMBE WA DORCAS MINISTRY CHURCH WAKATI WA IBADA YA NDOA

WATOTO NAO WALIKUWA NA FURAHA SANA HII ILIKUWA NIYA NAMNA YAKE