Jumatano, 4 Desemba 2013

Mtumishi wa Mungu Happy Fred Mwatonoka
Injinia wa Muziki Bwana Riziki John Fisha akiwa gitaa lake Jina la Bwana Libarikiwe
Mtumishi wa Mungu Ev Moses Mkomandoo akihubiri  Neno la Mungu katika viwanja Mission usharika wa Mtae
Wapakwa mafuta wa Bwana wakiwa jukwaani Mtumishi wa Bwana Yohana Kangajaka na Mchungaji kiongozi wa usharika wa Mtae

Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana msifuni kwa matari na kucheza, msifuni kwa zeze na kinubi