Jumapili, 1 Desemba 2013

Mojawapo ya mtumishi Wa Mungu Frank Kaniki


Mtumishi wa Mungu Yohana Kangajaka akihubir wakati Wakati Mkutano
Makutano wakisikliza Neno la Mungu
Maajabu yake Mungu wetu hakika ni mkuu
Haya tuimbe maana tumekumbolewa kwa  Imani
Mtumishi wa Mungu akifanya huduma ya Yesu Kristo katika mkutano
Mama aliyekamatwa na nguvu za Mungu akiwa kama Agent wa nguvu za giza
Makutano wakisiliza neno la Mungu wakati wa mkuotano
Mtumishi wa Mungu Moses komandoo wa Yesu akimtukuza Bwana
Sifa kwa Bwana Yesu maana kusifu  kwa wapasa wanyofu wa Moyo
Karibuni kwenye mkutano wa injili Usharika wa Mtae
Kwaya akimama siku ya ibada ya ibada ya ufunguzi wa mkutano
Mtumishi Yohana  Kangajaka akimtukuza Mungu wakati wa ibada
Hayasasa tarumbeta wakimtukuza Mungu katika ya ufunguzi wa mkutano
Karibuni sana Usharika wa Mtae kwenye Mkutano wa injili Njoo upate jibu la maisha yako
Haleluya Mungus ni mwema tupo Mtae kwa Mkutano wa injili kanisa la KKKT Barikiwa na karibu