Alhamisi, 26 Desemba 2013

Mchungaji Silas akiwa na mkewe
Waumini wakibubujikwa  haleluya
Mtumishi wa  Mungu Kangajaka akiwa na mtumishi wa Mungu ambaye ni mwana uchumi aliyeko katika  ofisi ya waziri Mkuu Dsm Ndugu Asanterabi Sangenoi wakiwa katika milima ya usambara Mtae
Mtumishi wa Mungu Yohana kangajaka akifundisha katika kanisa Israel ukombozi

Waumini wa kanisa la Israel Ukombozi wakiwa katika maombi maalum
Mtumishi wa Mungu Yohana Kangajaka akiwa katika kanisa la Israel ukombozi kijiji cha Mbalamo  kwamasimba Korogwe
Watumishi wa Mungu Yohana Kangajaka, Mchungaji Silas na mkewe pamoja Mchungaji Herbet Mwaimu na mkewe kulia kwa mtumishi Yohana. Mchungaji Herbet Mwaimu ndiye mkurugenzi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo mahali hapa Mbalamo Kwamasimba Korogwe ukitaka kuchangia watoto yatima +255655502133 karibu tuhudumie watoto wetu Yakobo 2:14-18 yafaa nini mtu akisema yakwamba anayo imani lakini hana matendo?................