Jumanne, 15 Oktoba 2013

Msuujiza ya Bwana Yesu inatendeka haleluya
Angalia miujiza ya Bwana Yesu

Wastahili sifa zamoyowangu na kwabudu uliniumba nikwabudu
Haya sifu kwa matari na kucheza ngoma zeze na filimbi haleluya
Haya sasa sifa kwa Bwana Yesu maana yeye anastahili
Yes nguvu ya Mungu inatenda kazi maana miujiza na uponyaji inatendeka
Haya moto wa Yesu unawaka katika mji wa Mombo