Jumatatu, 21 Septemba 2015

Mamia ya Watu wakimkabidhi Yesu Maisha Yao

 Mkabidhi Yesu maisha yako na awe Bwana na Mwokozi wa Maisha yako






The overcoming life 1John 4:4 By Pastor Yohana Kangajaka



The overcoming life 1John 4:4

Your are of God

Asili yetu wakristo sio hapa duniani Yohana anashuhudia akionyesha asili yetu asili yake ipo kwa Mungu kwa maneno mengine wakristo wamezaliwa na Mungu hivyo wana maisha ya asili ya Mungu, ni muhimu kujua hili

Haisemi Biblia kuwa tutashinda inasema tumeshinda {you shall overcome them but it says you have overcome throne this is not a promise it is a statement of fact your not trying to overcome you have overcome already.} na haisemi umewashinda kwa sababu mna nguvu mno sana au sababu ni wakristo wa kiroho sana bali inasema umewashinda kwa kuwa aliye ndani yangu ni mkuu kuliko aliye duniani

Kwa lugha nyingine huwezi kushinda chochote iwapo Yesu hayumo ndani yako, sio mtazamo kidhehebu kwa Yule aliye hai ndani yako unapata uhamisho katika ulimwengu wa roho Kolosai 1:13  who has deliverd us from the power of the darkness and translate us into the kingdom of  His dearson.Mtu wa asili yupo katika utawala wa adui kwa hiyo anahitaji ukombozi, Mtu mpya ametolewa katika milki ya shetani na kuingizwa katika ufalme wa mwana wa pendo lake Mungu

Mtu mpya hahitaji ukombozi bali mtu mpya ametolewa katika milki ya adui ameingizwa katika milki ya Mungu mwenyewe, elewa maisha ya ushindi ni pale mtu anapozaliwa mara ya pili. Maisha ya adamu wa kale ambayo yalishikwa na dhambi na kifo yamebadilishwa na amekuwa kiumbe kipya 2kor 5:17  sasa hiki kiumbe kipya kina asili mpya ya Mungu na hakuna awezaye kuyaharibu tena sio kifo wala magonjwa 1Yn 4:4 Maisha yake yanatenda Kiungu.

Mk 16:17—18 elewa sio ahadi bali ni udhihirisho wa ukweli {statement if fact} uwapo imeokoka Yesu yupo ndani yako wewe sio mtumwa wa magonjwa tena [your no longer subject to disease]

MKUTANO WA INJILI WELEI

 MAKUSANYIKO YA MAMIA WATU WAKIMKABIDHI YESU MAISHA YAO MUNGU ANAONEKANA KWA JINA LAKE

 MTUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA AKIFANYA HUDUMA YA MAOMBEZI KWA WENYE SHIDA MBALIMBALI KATIKA MKUTANO HUKU MAMIA YA WATU WAKIMKABIDHI YESU MAISHA YAO

 KIDOLE CHA MUNGU KIKIKUGUSA HAKUNA NGUVU YOYOTE INAYOWEZA KUSIMAMA