Jumamosi, 28 Juni 2014

NENO LA UFUNUO KWA DADA HUYU ALIYEKUWA ANASUMBULIWA NA TATIZO UVIMBE KWA MIAKA MINGI NA MGUSO WA YESU ULIPOMGUSA ALIPATA MUUGIZA WAKE WA KUONDOLEWA UVIMBE HUO

 Ni katika ibada ya Kwanza wakati Mtumishi wa Mungu akihubiri Juu ya Karama za Roho Mtakatifu alipata ufunuo wa Roho Mtakatifu Juu ya Tatizo la Uvimbe lililokuwa linamsumbua Dada Huyu Ambapo alieleza ya kwamba amezunguka sana katika hospitali nyingi sana Bila mafanikio ila kwa Mkono wa Yesu Dada huyu ameondolewa Uvimbe wake

Mtumishi akimwekea Mkono katika Uvimbe na kwa mkono wa Yesu uvimbe ulipotea

Kwa mengine mengi endelea kufuatilia katika ukurasa wetu wa facebook https://www.facebook.com/yohana.kangajaka.3

Picha katika Ibada KKKT Usharika wa Korogwe ambapo Mtumishi Yohana Kangajaka anaendelea na Semina ya Neno la Mungu

 Waimbaji wa kikundi cha kusifu na kuabudu wakimsifu Mungu kwa Nyimbo na kucheza kabla ya Mtumishi kuanza mahubiri ndani ya Ibada ya kwanza KKKT Korogwe

Tunacheza kwa Yesu Mwimbaji Joseph Singano akiongoza Kikundi cha kusifu na kuabudu kwa nyimbo

Maombezi Katika Semina inayoendelea Hapa KKKT Usharika wa Korogwe

 Fire of Holy Spirit [Mtumishi Yohana Kangajaka akifanya maombi kwa Dada huyu aliyekuwa na nguvu za Giza ila kwa Jina la Yesu yalitii na kumwachia dada huyu Huru] JINA LA BWANA YESU LIBARIKIWE

"be out in Jesus name" Mkono wa Kinabii unapokugusa na nguvuya Mungu nayo inashuka kwa Jina la Yesu Dada huyu alifunguliwa katika shida aliyokuwa nayo ya Nguvu za Giza

 Mchungaji Moses Shemweta [Mkuu wa dinari ya Tambarale] akifuatilia semina inayoendelea Korogwe mwalimu wa Semina Akiwa Mtumishi wa Mungu Yohana Kangajaka

PROPHETIC WORDS

 Mama huyu alipewa neno la kinabii kuhusu ugonjwa wake uliokuwa unamsumbua ila Yesu alimponya papo hapo kupitia mtumishi wake @yohana kangajaka

Ijumaa, 20 Juni 2014

hskjkjxsx

“IMANI IOKOAYO IMANI IKOMBOAYO NI NINI?”

Yakobo 2:14 “Ndugu zangu,yafaa nini,mtu akisema kwamba anayo imani,lakini hana matendo?je!ile imani yaweza kumwokoa?”  ile imani; neno hili ile imani lina maana ni aina gani ya imani inayookoa.Sio kukubaliana kwa akili na kweli ya biblia kuhusu Mungu Yakobo 2:19 “Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja;watenda vyema.Mashetani nao waamini na kutetemeka” Imani iokoayo hutenda na kutii.Uwe na upendo wa amri za Mungu na utii Yakobo 2:20 “Lakini wataka kujua,wewe mwanadamu usiye kitu,kwamba imani pasipo matendo haizai?” Rum 10:9—10 (9.Kwa sababu ukimkiri Yesu kwa kinywa chako kwa kuwa ni Bwana,na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu,utaokoka 10.Kwa maana kwa moyo mtu uamini hata kupata haki,na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu)

Imani humtii Mungu kwa moyo usio kichwa  ?” Rum 10: “Kwa maana kwa moyo mtu uamini hata kupata haki,na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu” Efeso 2:8—9,Rum 16:26 (Ikadhihirishwa wakti huu kwa mandiko ya manabii,itajulikana na mataifa yote kama alivyoamuru  Mungu wa milele ili waitii imani) Efeso 2:10 “Maana tu kazi yake,tuliumbwa katika Kristo Yesu,tutende matendo mema,ambayo tokea awali Mun gu aliyatengeneza ili tuenende nayo” Imani iokoayo ni kipawa cha Mungu.(Isaya 61:10)ni kuvikwa na kufunikwa (Isaya 64:6,Luka 43:48.Ebra 7:22,Ebra 6:6,Ebra 12:24,Ebra 4:10)sasa yapo maagano na mikataba
Agono na mkataba sio kitu kimoja kama watu wanavyodhani,Mkataba ni kazi ya binadamu na Agano ni kazi ya Jehova 1 Yoh 1:8—9 “Tukisema kwamba hatuna dhambi,tunajidanganya wenyewe,wala kweli haimo mwetu 9.Tukiziungama dhambi zetu,yey ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambie zetu,yeye hutasafisha na udhalimu wote”lazima tuanze kwa toba iwapo tunataka ukombozi wa kweli Lawi 17:11 “kwa kuwa uhai wa Mwili u katika hiyo damu;nami nimewapa ninyi hiyo damu juu ya madhabahu,ili kufany upatanisho kwa ajili ya nafsi zenu;kwani ni hiyo damu ifanyayo upatanisho kwa sababu ya nafsi” kiri damu ya Yesu  1 Yn 1:7 “Bali tukienenda nuruni,kama alivyo katika nuru,twashirikiana sisi kwa sisi na damu yake Yesu,mwana wake,yatusafisha dhambi yote” Ulinzi Kumb 28:7 “Bwana atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yak;watakutokea kwa njia moja,lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba”( 1kor 2:10) Roho (Rum 8:26 “) Kusamehe (Mt 6:14) Kisasi (Yer 15:15) Uponyaji (Zab 107:20)kukanyaga nguvu za adui.Angusha ngome( Yoshua 6:20)
Ni hakika kwamba tumetoka katika jamii tofauti zilizo chini ya maagano mbalimbali ambayo yamevuta laana mbalimbali sasa kabla ya kuendelea sana ni vyema tuone na kujua laana maana yake ni nini?LAANA ni maneno yaliyozungumzwa au kunuizwa yenye uwezo katika ulimwengu wa roho ya kuharibu hatima ya mtu au ukoo na katika laana hizi zipo aina saba za laana
1.       Kuna laana ya Mungu
2.       Kuna laana ya Manabii
3.       Kuna laana ya Torati
4.       Kuna laana ya  shetani
5.       Kuna laana ya ukoo
6.       Kuna laana ya kujifanyia
7.       Kuna laana ya kushirikishwa
Na hizo zote zina nguvu ya kuharibu japo laana ya Mungu ni ngumu sana na laana ya manabii kuliko laana ya shetani na torati (sheria) ni budi mtu atakaye kutoka katika laana au anayetaka ukombozi katika laana kwanza awe na imani ikomboayo Biblia inatuambia katika Rum 1:17 “Kwa maana haki ya Mungu inadhihirishwa ndani yake,toka Imani hata imani,kama ilivyoandikwa,mwenye haki ataishi kwa Imani” Hivyo tunatoka Imani hadi Imani,Ushindi hadi Ushindi kwa Ushindi wa Yesu.  1 Kor 15:57 “Lakini Mungu na ashukuriwe atupae kushinda kwa Bwana wetu Yesu Kristo” iyo safari ya kutoka katika laana na kuingia katika Baraka inaanzia katika ushindi wa Imani (Gal 3:14—15) hatuna hofu tena wla mashaka yeyote katika Agano alilotupatia Mungu nalo linajengwa katika uaminifu katika kutii Imani  Rum 16:26
Hapo kukwatishwa tamaa na adui kwa vikwazo anavyoweka katika njia zetu sio mambo yanayoweza kujenga maisha yenye nguvu na ushindi.Sisi tumepata msaada ulioshuka toka juu.Ushindi wa Yesu ndio tumepewa yeye aliyekubali kuwa laana,hapa lazima uwe makini laana inayoongoza kuondoka baada ya mtu kuingizwa katika familia ya Mungu ni ile ya Torati (Gal 3:13 “Kristo alitukomboa katika laana ya torati,kwa kuwa alifanywa laana kwaajili yetu;maana imeandikwa ,Amelaaniwakila mtu aangikwaye juu ya mti.)Ibilisi hana uwezo tena wakuwashinda wala kuwadanganya watu wa Mungu.(yohana 1:12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu,ndio wale waliaminio jina lake;) Hapo ndipo wote waliompokea wana kuwa baba na kupewa uwezo,mamlaka,ruksa,haki(exsosia).Ibilisi anawadanganya  wale tu wasio jua wao niwakina nani katika kristo Yesu.Ushindi wa Yesu ufufuo wa Yesu tumepewa tumehesabiwa haki ya kuaushindi  wetu kwa imani katika neema yake (yohana 8:32 tena mtaifahamu kweli,nayo hiyo kweli itawaweka huru. Katka ms 36 basi mwana akiwaweka huru mtakuwa huru kweli kweli.
Tumewekwa huru mbali na misri na uovu wake,na mizigo yake (Ebr 2:14-15 Basi,kwa kuwa watoto wameshiriki damu na mwili,yeye naye vivyo hivyo alishiriki yayo hayo,ili kwanjia ya mauti amharibu yeye aliekuwa na nguvu za mauti,yaani,Ibilisi,awaache huru wale ambao kwamba maisha yao yote kwa hofu ya mauti walikuwa katika hali ya utumwa.)Ibilisi ameharibiwa hii sio kwamba hayupo.Hayupo lakini  amenyanganywa mamlaka yote na Yesu ndiye anayo sasa .Yeye alie ushindi wa kifo,neno lililotumika kuharibu kwakiyunani linaitwa  katargeo likiwa na maana ya kusababisha kutokuwa na uwezo,kutokuwa na umuhimu,kupoozesha.hivyo kwa kupitia kifo cha Yesu.

Sio kwamba amelipa adhabu ya dhambi tu bali alimfanya shetani  kutokuwa na uwezo,amemtiisha hadi kukosa nguvu amempoozesha kwahiyo ukimpokea Yesu huna haja ya kumuogopa ibilisi wala hukumu inayofuata baada ya kifo wala huogopi wachawi na kundi lake lote la giza. Ebrania9:27 anasema.Na kama  vile watu walivyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu. Ebr.10:27 bali kuna kuitazamia hukumu yenye kutisha,na ukali wa moto uliotayari kuwala wao wapingao Rumi8:1-2 Sasa basi hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu.Kwasababu sheria ya Roho wa uzima ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru,mbali na sheria ya dhambi na mauti.Hapo ndipo  mauti ilipopoteza uchungu wake,usiogope matokeo ya kifo maana hakiwezi kuharibu nafsi na roho ya aliyeokoka  Kristo anamiliki.pamoja na hayo kama hukwenda sawa na elekezo la Neno la MUNGU ndio inakua mlango wa kuvuta laana ya BWANA.MITHALI 3:33 Laana ya Bwana I katika nyumba ya waovu bali huibariki maskani ya mwenye haki hebu uwe na ufahamu sahihi wenye haki ni ni wale walio amini kazi ya Mungu ya ukombozi kwa njia ya kifo cha Yesu. Gal 2;16 Hali tukijua ya kwamba mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria,bali kwa imaniya Kristo Yesu;sisi tulimwamini Kristo Yesu ili tuhesabiwe haki kwa imani ya Kristo Yesu,wala si kwamatendo ya sheria;maana kwa matendo ya sheria hakuna mwenye mwili atakaye hesabiwa haki.ukifikia cheo hicho laana isiyo na sababu haikupiga. Maana yake ukiruhusu adui kupata sababu laana yaweza tenda kazi.mithali 26:2 kama shomoro katika kutangatanga kwake, na kama mbayumbayu katika kuruka kwake .kadhalika laana isiyo nasababu haimpigi mtu. Sasa fimbo ya enzi anayo Yesu iwapo tutatembea na kuitia Imani  {Rum 16:26
Laana aina ya tatu ni ya watumishi wa Mungu[Manabii] mfano Yoshua  6:26 “Naye Yoshua akawaapisha kiapo wakti ule,akasema,na laaniwe mbele BWANA mtu Yule atakayeinuka na kuujenga mji huu wa heriko;ataweka msingi wake kwa kufiliwa na mzaliwa wa kwanza wake,tena atasimamisha malango yake kwa kufiliwa na motto wake mwanamume aliye mdogo.” Joshua alipowaapisha kiapo wote waliyoenda kinyume na kiapo kile uharibifu uliwafika [2 samweli 1:21] Daudi alipokuwa analia aliongea maneno ambayo yanafanya kazi tangu alipoyanena hadi leo.Elewa Miaka elfu ya Daudi ndio Yesu akaja miaka Elfu mbili tangu Yesu aje hadi tulip oleo yale maneno bado yana nguvu,milima ya Gibea haina maongeo imedumu miaka elfu tatu
Inaendeleaaa……………………..

Alhamisi, 19 Juni 2014

KUBADILISHWA NA TAABU

KUBADILISHWA NA TAABU
2 kor 4:17  “Maana dhiki yetu nyepesi  iliyo ya muda wa kitambo tu,yatufanyia utukufu wa milele uzidio kuwa mwingi sana”
Dhahabu safi hutokana na moto,husafishwa na moto.Mungu analengo kwa kila tatizo,yeye hutumia mazingira kukuza tabia zetu ili kufanana na Kristo.Mazingira ni zaidi ya kusoma biblia maana unakabiliana na mazingira masaa 24,(Yn 16:33 “hayo nimewaambieni mpate kuwa amani ndani yangu.ulimwenguni mnayo dhiki;lakini jipeni moyo;mimi nimeushinda ulimwengu”) hakuna sugu kwa matatizo wala hakuna aliye funikwa asikutane nayo ( Ayubu 5:7 “Lakini mwanadamu huzaliwa ili apate mashaka,kama cheche za moto zirukavyo juu.”)mkitatua moja lingine linakuja 1 petro 4:12
Mungu anayatumia matatizo kutusogeza karibu sana naye na kutukuza kitabia,iwapo unamjua ukipondeka moyo mtaona wokovu wake,ibada za kweli huja wakati upo katika hali nzito nyakati za giza.Unapohisi kuachwa mkiwa na maumivu makali na mkamgeukia Mungu sio kumkimbia hapo sala zake huwa za kweli na mwaminifu kutoka moyoni Mateso ni mwalimu.Ebra 5:8 (“na,ingawa ni Mwana,alijifunza kutii kwa mateso hayo yaliyompata;) maisha yakiwa ya raha waweza mtaja na kumfahamu juu juu tu,ukiiga na kunukuu.Bali katika tabu utamjua na utajifunza.
Mungu angeweza zuia Yusufu atupwe gerezani,au Danieli asitupwe katika pango la simba,Yeremia katika simo la matope,Paulo Mungu angezuia asivunjikiwe na jahazi bali aliruhusu kutokea bila kizuizi na matokea kila mmoja alimsogelea Mugnu kwa karibu zaidi.shida utulazimisha kumtazama Mungu na kumtegemea Mungu,Uwezijua kwamba unachohitaji ni Mungu peke yake hadi pale utakapojikuta umebaki na Mungu pekee.bila kujali chanza,hakuna tatizo linaloweza kukupata bila ruksa ya Mungu.
Mungu uyachuja  yote yanayokukuta na kuyatumia kwa ajili ya mema (Rum 8:28 “Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja wale wampendao katika kuwapatia mema,yaan, wale walioitwa kwa kusdi lake”)ingawa na shetani na watu wengine wanakusudia mabaya kwa Mungu anatawala yote,siku zako zote zimeandikwa katika kalenda ya Mungu kabla hujazaliwa na kila kinachokutokea kina umuhimu wa kiroho,Mungu husababisha kila kitu kufanya kazi pamoja kwa ajili ya mema ya wale wampendao Yn 14 :23 “(Yesu akajibu,akamwambia,mtu akinipenda,atalishika neno langu,na Baba yangu atampenda;nasi tutakuja kwake,na kufanya makao kwake”) Rum 8:28-29 and we know that all things work together for good to them that love GOD, to them who are called according to  his purpose. For whom he did foreknow, he also did predestinate to be conformed to theimage of his son,that he might be the first born among many brethren. Neno  TUNAJUAni alama ya uhakika wa tumaini wakat wa magumu hutegemei kufikiri chanya bali unafikiri kwa kule kutarajia mema au kule kutegemea mazuri huu ni uhakika uliojengwa kwenye kweli.kwamba Mungu anatawala kikamilifu huu ulimwengu na anatupenda akisema  tunajua KWAMBA Mungu husababisha.maana yake kuna mbinu nyuma ya kila kitu kinachoruhusiwa kutokea hata kama adui amesababisha  Mungu anazombinu sio bahati mbaya yale yatokeayo kwako yuko msanifu nyuma ya jambo.kumbuka sisi tunaweza kukosea lakini Mungu hakosei.akisema KILA KITU.maana yake mpango  wa MUNGU kwa maisha yako anahusisha yote yanayotokea pamoja na makosa yetu na dhambi na maumivu yetu,magonjwa unayoutana nayo madeni yetu majanga talaka.vifo vya wapendwa wetu tuwapendao hayo yote MUNGU aweza leta mema toka mambo yanayoonekana maovu. Alifanya hivi kalvari.katika uovu na ukatili wao MUNGU AKALETA WOKOVU KWA WOTE WANAOAMINI. Kufanya kazi pamoja  sio kwa kipekee au kujitegemea,matukio ktk maisha yako yanategemeana katika mchakato mzima wa kukufanya ufanane na Kristo. Yote yanachonga SHAPEyako.kama vile mtu anayetengeneza lishe.kuna vichanganyiko vingi.lakini mwisho wa siku kunatokea msosi wakufaa kwa afya. Mpe MUNGU MAMBO YAKO YOTE MABAYA NA MEMA  KATKA MATUKIO YAKO YOTE MLETEE.atayaunganisha pamoja kua kitu chema nawe utakuwa na ushuhuda. Yote ni kwa ajili ya mema lakini hainamaana kwamba kila kitu ni chema bali kila kitu hutendeka kwa ajili ya meea maana MUngu ni mtaalamu wa kutoa mema kutokana na mabaya mfano ukoo wa Yesu Kristo wanawake wanne Amari,Ruthu,Rahabu,Bethseba.”TAMARI” alimhadaa baba mkwe wake, Rahabu alikuwa kahaba,Ruthu hakuwa myahudi na laivunja sheria ya kuolewa na myahudi,Bethseba alitenda uzinzi na Daudi jambo lililoleta mauaji ya mume wake.
Hizi hazikuwa ni sifa nzuri lakini mungu alileta mema mema katika mabaya na Yesu akaja toka ukoo wao.Kusudi la Mungu lani kubwa kuliko matatizo yetu,maumivu yetu na dhoruba “YA WALE WAMPENDAO MUNGU NA WAMEITWA =Ahadi ya Mungu ni kwa watoto wake  tu si kila kitu hufanya kazi pamoja kwa ubaya kwa wale wanaoishi kumpinga Mungu na kukazana kufuata njia zao,kutokana na leng lake ni sisi tufanane na mwanae.Kila kitu kitokacho ni kwa kusudi hilo,jenga tabia ya mfano wa Yesu.Tunachongwa kwa nguvu ili kuondoa makunyanzi yote kwa nyundo yenye nguvu,atatumia chochote hadi umechongoka ufanane na Yesu mateso yanaleta subiri Paulo anasema kila tatizo hujenga tabia na misuli ya kiroho na uadilifu

KUBADILISHWA NA TAABU By Yohana Kangajaka