Ijumaa, 6 Desemba 2013

Mwimbaji Happy Mwatonoko
Mtaalamu wa location Ndugu Elisha Shekizingolo akiwa katika mojawapoya maeneo kwa maandalizi ya kurekodi Video
Mtumishi wa Mungu Yohana Kangajaka akiwa na Timu yake walipokuwa wakitembelea maeneo waliofanyia maombi ya ukombozi katika kata ya Mtae Lushoto
Haya tuimbe na kucheza kwa Bwana Yesu
Mtumishi wa Mungu Yohana Kangajaka akiwa katiaka sehemu ambapo alifanya maombi ya ukombozi
Mchungaji kiongozi  Nkanileka Chedi usharika wa Mtae pamoja na Ev Yohana Kangajaka baada ya Maombi ya ukombozi
Wana praise wakimtukuza Mungu wakati wa mkutano wa injili Mtae Lushoto
Katika jina la Yesu funguka