Jumapili, 29 Septemba 2013
Jumatano, 25 Septemba 2013
Jumanne, 24 Septemba 2013
Jumatatu, 23 Septemba 2013
Mtumishi Yohana kangajaka - Msaranga Moshi
Wapendwa katika bwana wakishangilia ushindi wa Yesu kristo katika mkutano uliofanyika Mjini Moshi
Vijana kwa wazee wakiimba na kufurahi kwa Muujiza wa mungu
Ev. John Kangajaka akiimba pamoja na wanakwaya wa Msaranga - Moshi
Mch Tumaini kalaghe pamoja na John kangajaka - Msaranga Moshi
Mkutano wa injili Msaranga - Moshi
Mchungaji Tumaini Kalaghe akimuombea Binti katika mkutano huo
Mchungaji Tumaini Kalaghe na Mchungaji Yohana Kangajaka wakimuombea Mmoja wa umini katika Mkutano huo
Mkutano wa injili Iringa 16 Sept. 2013
Mkutano wa Injili Uliofanyika Makambako Iringa Tarehe 16 September 2013
Mtumishi wa Mungu akipambana katika maombi katika mkutano mkubwa uliofanyika Mkoani Iringa Sept. 23 mwaka huu
Mtumishi wa Mungu aliejaaliwa vipaji vingi vikiwemo vya Uimbaji, Uongozi, Ualimu hapa akicharanga kinanda akiimba wimbo wake katika Mkutano uliofanyika Iringa mwezi wa September mwaka huu
Mmoja wa watumishi wa mungu akifatilia mahubiri yaliyofanyika mkoani Iringa
Mtumishi wa Mungu Yohana Kangajaka akiimba nyimbi huku akipiga kinanda
Mmoja wa wanakwaya akiwa ana msifu mungu katika mkutano huo
Mtumishi wa Mungu Yohana kangajaka akiamuru pepo linalomsumbua Binti huyu (pichani) hatimae binti aliachiwa huru na kuponywa kwa nguvu za yesu kristo.
Wachungaji wakiwa Jukwaani katika mkutano wa injili mkoani Iringa
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)