Mkutano wa Injili Uliofanyika Makambako Iringa Tarehe 16 September 2013
Mtumishi wa Mungu akipambana katika maombi katika mkutano mkubwa uliofanyika Mkoani Iringa Sept. 23 mwaka huu
Mtumishi wa Mungu aliejaaliwa vipaji vingi vikiwemo vya Uimbaji, Uongozi, Ualimu hapa akicharanga kinanda akiimba wimbo wake katika Mkutano uliofanyika Iringa mwezi wa September mwaka huu
Mmoja wa watumishi wa mungu akifatilia mahubiri yaliyofanyika mkoani Iringa
Mtumishi wa Mungu Yohana Kangajaka akiimba nyimbi huku akipiga kinanda
Mmoja wa wanakwaya akiwa ana msifu mungu katika mkutano huo
Mtumishi wa Mungu Yohana kangajaka akiamuru pepo linalomsumbua Binti huyu (pichani) hatimae binti aliachiwa huru na kuponywa kwa nguvu za yesu kristo.
Wachungaji wakiwa Jukwaani katika mkutano wa injili mkoani Iringa