Jumamosi, 13 Septemba 2014

MAKUTANO WAKIINUA MIKONO JUU KUMKUBALI YESU KUWA BWANA NA MOKOZI WA MAISHA YAO

YESU NDIYE AWEZAYE KUFANYA MAMBO HAYA KUPITIA WATUMISHI WAKE  JINA LA BWANA LIBARIKIWE

MAKUTANO WAKISIKILIZA UJUMBE WA NENO LA MUNGU KATIKA VIWANJA VYA MAHAKAMANI MWIKA USHARIKA WA KIRUWENI HUYU NI YESU MNAZARETH NDIYE MWENYE KUTENDA HAYA KUPITIA WATUMISHI WAKE
MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA AKIHUBIRI INJILI KATIKA VIWANJA VYA MAHAKAMA YA MWANZO MWIKA USHARIKA WA KIRUWENI KWA KWELI TUMEMWONA MUNGU AKITENDA KUPITIA MTUMISHI WAKE