Jumamosi, 28 Juni 2014
Picha katika Ibada KKKT Usharika wa Korogwe ambapo Mtumishi Yohana Kangajaka anaendelea na Semina ya Neno la Mungu
Waimbaji wa kikundi cha kusifu na kuabudu wakimsifu Mungu kwa Nyimbo na kucheza kabla ya Mtumishi kuanza mahubiri ndani ya Ibada ya kwanza KKKT Korogwe
Tunacheza kwa Yesu Mwimbaji Joseph Singano akiongoza Kikundi cha kusifu na kuabudu kwa nyimbo
Maombezi Katika Semina inayoendelea Hapa KKKT Usharika wa Korogwe
Fire of Holy Spirit [Mtumishi Yohana Kangajaka akifanya maombi kwa Dada huyu aliyekuwa na nguvu za Giza ila kwa Jina la Yesu yalitii na kumwachia dada huyu Huru] JINA LA BWANA YESU LIBARIKIWE
"be out in Jesus name" Mkono wa Kinabii unapokugusa na nguvuya Mungu nayo inashuka kwa Jina la Yesu Dada huyu alifunguliwa katika shida aliyokuwa nayo ya Nguvu za Giza
PROPHETIC WORDS
Mama huyu alipewa neno la kinabii kuhusu ugonjwa wake uliokuwa unamsumbua ila Yesu alimponya papo hapo kupitia mtumishi wake @yohana kangajaka
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)