MCHUNGAJI WA USHARIKA WA MOMBO AKISOMA NENO LA MUNGU WAKATI WA KUFANYA UBATIZO WA DADA ALIYE MKIRI YESU KUWA BWANA NA MOKOZI WA MAISHA YAKE DADA HUYU ALIKUWA IMANI NYINGINE NA SASA NI MKRISTO JINA LA BWANA LIBARIKIWE
MTUMISHI WA MUNGU EV. YOHANA KANGAJAKA AKIHUBIRI SIKU YA MWISHO YA MKUTANO JUMATATU YA PASAKA KATIKA MJI WA MOMBO KANISA LA KKKT
MTUMISHI WA MUNGU AKIFANYA HUDUMA YA MAOMBEZI WAKATI WA MKUTANO WA MKUTANO WA INJILI MOMBO KOROGWE
MCHUNGAJI BENJAMINI CHAMBO WA USHARIKA WA MOMBO AKIPIGA KINANDA WAKATI WA MKUTANO WA INJILI
MCHUNGAJI BENJAMINI CHAMBO WA USHSRIKA WA MOMBO AKIMBATIZA DADA ALIYE MKIRI YESU KUWA BWANA NA MOKOZI WA MAISHA YAKE DADA HUYU ALIKUWA WA IMANI NYINGINE NA SASA NI MKRISTO
MCHUNGAJI BENJAINI CHAMBO AKIMBATIZA BINTI ALIYE MKIRI KUWA BWANA NA MOKOZI WA MAISHA
MAKUTANO WAKIWA WANASIKILIZA UJUMBE WA NENO ;A MUNGU WAKATI WA MKUTANO WA INJILI
MTUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA AKIHUBIRI WAKATI WA MKUTANO WA INJILI ULIOFANYIKA MOMBO KATIKA KANISA LA KKKT
MTUMISHI YOHANA KANGAJAKA PAMOJA NA MWANA MUZIKI RIZIKI FISHA WAKITUMBUIZA KATIKA IBADA YA PASAKA USHARIKA WA MOMBO