Jumamosi, 22 Februari 2014

MTUMISHI WA MUNGU AKIFUNDISHA KATIKA IBADA YA SEMINA YA NENO YA MUNGU USHARIKA WA MUNGU TANGA MJINI
AMININI YESU KRISTO UPONE
ATUKUZWE MUNGU AWEZAYE KUFANYA MAMBO YOTE HALELUYA
WAUMINI WAKIWA WANAFUATIALIA NENO LA MUNGU KATIKA IBADA USHARIKA WA KANGE TANGA MJINI

MTUMISHI WA MUNGU JEREMIAH AKIFANYA HUDAMA KATIKA IBADA KANGE TANGA MJINI
KATIKA JINA LA YESU POKEA  BINTI HUYU ALIKUWA AMEFUNGWA KATKA VIFUNGO SASA AMEFUNGULIWA JINA LA BWANA LIBARIKIWE
MTUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA AKIHUDUMU KATIKA USHARIKA WA KANGE TANGA MJINI
BINTI ALIYE MPOKEA YESU WAKATIA WA SEMINA YA NENO LA MUNGU BINTI HUYU ALIKUWA WA IMANI NYINGINE ALIMKIRI YESU KUWA BWANA NA MOKOZI
WAUMINI WAKISIKILZA NENO LA MUNGU KATIKA USHARIKA WA KANGE TANGA MJINI
WATUMISHI WA MUNGU WAKIWA WALIOKUWA WANAENDESHA HUDUMA YA SEMINA KATIKA USHARIKA WA KANGE NA MITAA YAKE JINA LA BWANA LIBARIKIWE
MCHUNGAJI GIDEON AKIWATAMBULISHA WATUMISHI WA MUNGU WALIOKUWA WANAENDESHA SEMINA KATIKA USHARIKA WA KANGE