Jumamosi, 14 Juni 2014

Katika Semina ya Wazee wa Kanisa

Ev.Yohana Kangajaka Pamoja na Wazee wa Kanisa baada ya Semina yao wakiwa na Mchungaji wao Kiongozi Mchg Shekizongolo

katika picha ya pamoja baada ya Semina iliyoongozwa na Mtumishi wa Mungu Kangajaka

ambapo somo lilihusu "

"Kutoka katika vifungo"

 

watu wengi wamo vifungoni pasipo kujua hawaelewi tofauti baina ya zaka,misaada na sadakaiko tofauti kubwa sana baina ya matoleo haya napenda ujue faida zake na kanuni za matoleo haya ili utembee katika upya uhuru wa fedha katika ahadi ya neno la Mungu Zab 138:2 "Ameikuza ahadi yake kuliko jina lake lote"

Tuache kuzunguka na kusema amini upokee na wakati atutendi neno la Mungu japo unaongea Andiko,Mungu hataki maneno mazuri tu anataka utendaji wa neno

PROPHETIC WORD AND HEALING IN JESUS NAME

 Prophetic Word (Mtumishi akimwambia mama huyo neno la kinabii kuhusu shida yake ambayo ilikuwa ikimtatizo kwa uwezo wa Yesu mama huyu aliponywa na kuondolewa shida yake hapohapo)JINA LA BWANA LIBARIKIWE

 MGUSO WA YESU ULIPITA NDANI YA MAMA HUYU NA ALIPONA MARA BAADA YA KUFUNGULIWA

MTUMISHI WA MUNGU AKILIAMURU PEPO NA NGUVU ZA GIZA ZILIZOKUWA ZIMEMSONGA MAMA HUYU KWA JINA LA YESU KRISTO NA KUTII

 WANASEMINA WAKIMPOKEA YESU KWA SALA YA TOBA

WAKATI WA MAOMBEZI MGUSO WA YESU UNAWAGUSA WATU WA MARAMBA KATIKA SEMINA INAYOENDELEA KUFANYIKA HAPA MARAMBA,TANGA

JESUS TOUCH

 Mtumishi Yohana Kangajaka akiwa katika Maombezi ya Uponyaji katika Semina Inayoendelea Maramba,Mkono wa Mungu unaonekana kwani watu wengi wanafunguliwa kwa Jina la aliye hai Yesu kristo mwenyewe...Haleluyaa

Mkono wa Mungu unapogusa yote yanawezekana

HADI VIWETE WANATEMBEA KWA YESU HEBU ANGALIA MUUGIZA HUU

 MAMA HUYU AMEPONA TATIZO LA MIGUU ALILOKUWA NALO KWA JINA LA YESU KRISTO MWENYEWE KUPITIA MTUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA

 TEMBEA KWA JINA LA YESU


MIUGIZA YA YESU

BWANA ANAENDELEA KUTENDA KUPITIA MTUMISHI WA MUNGU EV YOHANA KANGAJAKA  KATIKA SEMINA INAYOENDELEA MARAMBA TANGA
ROHO CHAFU ZA MWOVU SHETANI ZINATOKA NA WATU WANAFUNGULIWA KWA JINA LAYESU