Ijumaa, 18 Aprili 2014

HALELUYA TUNA MSHUKURU  MUNGU AMETUWEZESHA TENA TUPO USHARIKA WA MOMBO  KWA KAZI YA BWANA MUNGU NI MWEMA WATU WANAFUNGULIWA KUTOKA KATIKA VIFUNGO VYA SHETANI HALELUYA