Habari Za Mikutano










Mungu ni mwema kwani anaponya na Kufungua watu wengi sana kupitia Mikutano mbalimbali na Anaendelea Kuweka Maisha ya watu Huru kupitia Mtumishi wa Mungu Ev Yohana Kangajaka kwa Jina la Yesu
MKABIDHI YESU MAISHA YAKO NAE ATAYAPIGANIA