Jumatatu, 30 Desemba 2013

MTUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA AKIWA ANAENDELEA NA HUDUMA KATIKA MOJA YA HUDUMA ZAKE KATIKA MILIMA YA KWANG'WENDA SONI LUSHOTO
MAKUTANO WAKISIKILIZA UJUMBE WA NENO LA MUNGU KATIKA SEMINA
MTUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA AKIFUNDISHA KUHUSU LAANA
HALELUYA TUNAMSHUKURU MUNGU TUPO KIHUDUMA KATIKA MILIMA YA KWANGWE'NDA SONI LUSHOTO. KWA SEMINA YA NENO LA MUNGU KUHUSU LAANA BADO TUNAENDELEA KUMWONA MUNGU AKITENDA MIUJIZA KATIKA MILIMA HII