Alhamisi, 21 Novemba 2013
Wakati wa Ukombozi kwa Wenye Vifungo vya Kipepo
Watumishi wakitoa pete ya Maagano ya Kipepo kwa Moja kati ya Mabinti waliokuwa wakiweka mikataba ya Pete shetani.Jina la Bwana libarikiwe kwa Ukombozi
Moto wa roho mtakatifu ukitembea katika Semina ya Neno la Mungu inayoendelea KKKT Usharika wa Kana mkabala kabisa na Soko la Tengamano
Mtumishi wa Mungu Ernest Kangajaka akifanya maombi ya Ukombozi katika Semina hiyo inayoongozwa na Ev Yohana Kangajaka
Mapepo yanatii kwa Jina la Yesu Kristo na Yesu anazidi kufungua watu kupitia Mtumishi wake Yohana Kangajaka
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)