Jumapili, 13 Oktoba 2013

Hakika Yesu anaweza







waumini wakifuatilia ujumbe wa neno la Mungu katika ibada katika kanisa la KKKT usharika wa Mombo

Mtumishi Yohana Kangajaka akitoa neno wakati wa ibada
Mchungaji Benjamin akimtukuza Mungu wakati wa ibada ambayo ilifatiwa na mkutano wa injili
Waumini wakifuatilia ujumbe wa neno la Mungu kwenye ibada
Waumin wakifuatalia neno la Mungu katika ibada
Mch Chambo akimsifu Mungu  pamoja na kikundi cha kusifu na kuabudu (praise and worship)katika ibada
wana kwaya wakisifu na kuabudu katika moja ya ibada za jumapili sku ya kwanza ya mkutano
Haleluya tunamshukuru Mungu kwa ukuu wake na uweza maana ametupa kibali sasa tupo Mji wa Mombo kwa huduma ya mkutano wa injili katika kanisa la KKKT Usharika Mombo