Jumatano, 1 Januari 2014

MTUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA AKIFANYA MAOMBEZI KATIKA SEMINA YA NENO LA MUNGU ILIYOFNYIKA KATIKA MILIMA YA USAMBARA KWANG'WENDASONI LUSHOTO
MAKUTANO WAKIWA WAKISILIZA UJUMBE WA NENO LA MUNGU KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA KKKT USHARIKA WA KWANG'WENDA SONI LUSHOTO
MTUMISHI WA MUNGU AKIWA ANAHUDUMU KATIKA MOJA YA HUDUMA ALIYOKUWA ANAFANYA KATIKA MILIMA YA USAMBARA KWANG'WENDA SONI LUSHOTO

MTUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA AKIFUNDISHA KATIKA KANISA LA ISRAELI UKOMBOZI KWAMASIMBA KOROGWE
WANASIFA WAKIMTUKUZA KATIKA KANISA LA ISRAELI UKOMBOZI
Mkurugenzi wa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbalamo Msambiazi Korogwe Ndugu Herbet Mwaimu akiwa na mkewe katika ya majengo ya kituo hicho Jina la Bwana libarikiwe