Jumapili, 17 Agosti 2014


BABA ASKOFU KIMBE AKIHUBIRI WAKATI WA IBADA YA NDOA KATI YA MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA NA JOYCE RAUO
KUNA FURAHA YA NAMNA YAKE SIKU AMBAYO BWANA AMEIFANYA MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA AKIWA ANAJIBU SWALI ALILO ULIZWA NA BABA ASKOFU KIMBE WA DORCAS MINISTRY CHURCH WAKATI WA IBADA YA NDOA

WATOTO NAO WALIKUWA NA FURAHA SANA HII ILIKUWA NIYA NAMNA YAKE
NIFURAHA SANA HAPA DOCAS MINISTRY CHURCH KUONA WAWILI HAWA WAKIWA NA SURA ZA KUTABASAMU
MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA AKIKABIDHIWA BI JOYCE NA MAMA YAKE JOYCE HAPO DOCAS MINISTRY CHURCH KUNDUCHI DARE ES SALAAM TANZANIA
MCHUNGAJI TUMAINI KALEGHE KATIKATI KUSHOTO AKIWA NI MWANAWE JOSEPH WAKATI WA KUSUBIRI NDOA YA MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA NA BI JOYCE
MCHUNGAJI TUMAINI AKIWA ANAFURAHIA JAMBO WAKATI WA NDOA KATI YA MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA NA JOYCE

BWANA DAVID CHANYEGHEA AMBAYE NDIO BEST MAN WA MCHUNGAJI YOHANA KANAJAKA WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA
 NJE YA UKUMBI WA DOCAS MINISTRY CHURCH KABLA YA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA BI JOYCE RAUO NA MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA BI JOYCE AKIWA NA MAMA YAKE
BI JOYCE RAUO AMBAYE KWA SASA NI MAMA MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA AKIWA SALOON JIJINI  DARE-ES SALAAM  KABLA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA
HALELUYA SIFA NA UTUKUFU NI KWA BWANA YESU MCHUNGAJI TUMAINI KALAGHE KUSHOTO MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA KATIKATI PAMOJA NA MKURUGENZI WA TAYODEA BWANA DAVID CHANYEGHEA WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA KUFUHIA SIKU ALIYOIFANYA BWANA AMBAPO MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA ALIFUNGA NDOA NA JOYCE LAUO .NDOA HII ILIFUNGWA DOCAS MINISTRY CHURCH HUKO KUNDUCHI DARE ES LAAM TANZANIA