Jumanne, 17 Septemba 2013

Mungu asimama nasi Makambako Mkoani Iringa

HALELUYA MUNGU NI MWEMA TUPO MAKAMBAKO IRINGA HAKIKA MUNGU ANAWEZA
Wanakwaya wakimtukuza Mungu katika moja ya mikutano ya injili hakika mungu alifanya miujiza mingi kwa watu wa makambako