Jumamosi, 28 Septemba 2013

Sifa na utukufu kwa Bwa na Yesu Mtumishi ANN ANNIE mkimsifu Bwana wakati wa mkutano Haleluya
Mwimbaji ANN ANNIE akimtukuza Mungu katika mkutano wa injili Mgwashi Bumbuli


Vijana wakiwa katika semina ya Neno la Mungu





 Haya sasa Bwana Yesu asifiwe tunamsifu Mungu

Watumishi wa Mungu wakimshangilia Bwana oooooh Haleluja
Miujiza na uponyaji  waYesu kristo ikitendeka
Makutano wakimtukuza Mungu Haleluya
Mwimbaji Ann Annie akimtukuza Mungu wakati wa mkutano
Makutano wakiombewa katika mkutano uliyofanyika Mgwashi Bumbuli jina la Bwana libarikiwe
Mtumishi wa Mungu Yohana Kangajaka akihubi katika mkutano
Makutano wakiombewa katika moja ya mkutano ulifanyika Mgwashi Bumbuli
Makutano wakifuatilia ujumbe wa Neno la Mungu
Mtumishi wa Mungu Noel Meena akimtukuza Mungu
n
Haleluya tunamshukuru   Mungu kwakutupa kibali kwa huduma nyigine tena leo Mgwashi Bumbuli