Jumamosi, 23 Novemba 2013

Ev: Yohana Kangajaka akihubiri katika ibada juu ya Uzima katika ulimwengu ujao, KKT Usharika wa kana.


Viongozi wa Ibada jumapili Tar 24. 11. 2013 KKKT Usharika wa Kana.


Viongozi wa Ibada jumapili Tar 24. 11. 2013 KKKT Usharika wa Kana.



Kwaya ya vijana KKKT Usharika wa kana wakitumbuiza wakati wa Ibada


Washarika wa kana wakisikiliza neno la waraka


Wakifuatilia Neno la waraka kwa makini




Ev Yohana kangajaka akiendelea na Semina ya Neno la Mungu KKKT Usharika wa Kana

 Akisisitiza juu ya Umuhimu wa kutoka kwenye laana.


Akitoa mfano.

Wakisikiliza kwa makini juu ya kutoka kwenye laana.

Mahubiri yakiendelea juu ya kufunguliwa kutoka kwenye vifungo, katika usharika wa Kana Tanga





Wakati wa kusifu na kuabudu mapema kabisa kabla ya Neno kuanza.Usharika wa Kana.









Wasichana wa Sayuni Wakimwabudu Mungu kwa nyimbo

 1Kor 1:15



 We worship in Jesus Christ name


Mafundisho ya Sehemu ya Pili na Mabinti Sayuni KKKT Usharika wa Makorora

 Wakimsifu Mungu kwa nyimbo