Makutano pamoja na watumishi wa Mungu kushoto ni Mchungaji kiongozi wa usharika wa Mtae na kulia ni mtumishiwa Mungu Yohana Kangajaka wakisikiliza somo la uchumi kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Asentelabi kutoka Arusha
Haleluya Mungu ni Mwema watumishi wa Mungu kushoto ni ndugu Asantelabi kulia ni mtumishi wa Mungu Yohana Kangajaka wakiwa usharika wa Mtae kwa ajili ya ujumbe wa Neno la Mungu
Watoto wakiwa wana msikiliza mtumishi wa Mungu wakati wa mkutano.Waacheni watoto wadogo waje kwangu msiwazuie kwa maana watoto kama hawa ufalme wa Mungu ni wao
Makutano waliompokea Yesu kuwa Bwana na mokozi wa maisha wakifanyiwa maombezi
Mtumishi wa Mungu Asantelabi akifanya huduma ya maombezi baada ya semina
Mtumishi wa Mungu Asantelabi kutoka Arusha akifundisha somo la uchumi katika semina baada ya mkutano uliofanyika ushrika wa Mtae Lushoto
Mtumishi waMungu Yohana Kangjaka akifundisha Semina ya Neno laMungu baada ya mkutano Jinsi y Kuwa Mwana baada ya kumpokea Yesu
Nguvu za giza hazina mamlaka kwa jina la Yesu huu unaochomwa hapa ni uchawi baada ya watu kufunguliwa kutoka katika vifungo vya kichawi walisalimisha hirizi walizopewa na waganga wa kienyeji na kuwa wanafunzi wa Yesu Kristo