“SEPARATION” (Gen 28:10-15)
Now Jacob went out from Beersheba and went
towards Haran(Yakobo akatoka Beesheba kwenda harani(separation).Mungu anapotaka
kukutumia katika njia Fulani lazima akutoe mahali Fulani uliyoyazoea marafiki
uliowazoea eneo ulilolizoea lazima alete mtengano Fulani ambao utakaondoa katika mtazamo uliouzoea na hapo huanza
kuchonga tabia yako kwa njia mpyaMungu ataka kumtumia Yakobo lazima amchonge
tabia yake tokea Beersheba in order to maintain characters yake aweze kufiti
katika jambo jipya na mtazamo mpya sio kila mtengano tunaouona ni wa shetani la hasha “separation its must”yapo matengano
katika kila nyanja yatakuwepo katika dini,yatakuwepo katika jeshi yatakuwepo
katika siasa,yatakuwepo katika uchumi.Kuchongwa
kwa mtazamo mpya funguka macho ewe Mtanzania usishangae unayo yaona leo watu wa
Mungu sogeeni mbele za Mungu atupe sababu za mtengano uliopo ili usiingie
katika kujiumiza mwenyewe Tanzania ni yetu hata tukienda harani tutarudi tena
Tanzania lakini tuwe tumeingia katika mpango wa Mungu yawezekana hata wewe
umefikia mahali Fulani umeanza kuwachukia watu Fulani lakini sikiliza acha
chuki zako,ziwe kisiasa au dini au kijeshi au kiuchumi pokea mtazamo mpya ukijua
tunachongwa.Kuchongwa wakati wote kunaleta maumivu lakini usitoke mikononi mwa
mchongaji ili ufanyike kitu bora tunza amani yake uwe na hekima kamili ya
Kimungu.Hekima maana yake ni maarifa yenye busara katika kujilinda wewe na
kumlinda mwingine,ukikosa maarifa ni hatari nyingine yapo maangamizo Hosea 4:6
My people are destroyed for luck of knowledge.(Watu wangu wanaangamizwa kwa
kukosa maarifa)
Hapa tunazungumzia divine knowledge,maarifa
ambayo yanatokana na zile roho saba za Mungu Isaya 11:2-3 i)Roho ya Bwana
2)roho ya hekima 3)roho ya ufahamu 4)roho ya ushauri 5)roho ya uweza 6)roho ya
maarifa 7)roho ya kumcha Bwana(na furaha yake
itakuwa katika kumcha Bwana wala hata kuhukumu kwa kufuata uonayo
kwa macho yake wala hutaonya kwa kuyafuata ayasikiayo kwa masikio yake,mara
nyingi kunapotokea tatizo lolote wengi wetu tunahukumu kwa vile tusikiavyo na
kuona,hiyo ni ya kutembea katika viwango
vya kimtu sisi tulio wa imani tusimame mbele za Mungu atupe maana ya mambo
tusiyoyaona mambo katika mtazamo wetu bali mtazamo wa Mungu kwa sababu hatuoni
mambo kama yalivyo Yakobo 4:14 (Why you do not even know what will happen
tomorrow,what is your life?You are a mist(shadow) that appears for little time
and then vanish away. Inaendelea……………………………………………………….