EV: Yohana Kangajaka Mobile: +255 (0) 715 279 702 YESU NI BWANA
Page
Home
Habari Za Mikutano
Ushuhuda Na Matukio
Mafundisho Na Semina
About Us
Contact Us
Our Services
Jumapili, 10 Novemba 2013
Sifa za Bwana zikivuma na vijana wa sauti ya Malaika
Makutano wakisikiliza Neno kwa umakini sana
Mtumishi akifundisha namna ya kutoka katika vifungo na kuwekwa huru
vijana wa praise and worship wakiwa wana muimbia JEHOVAH
Mtumishi jr Kangajaka mchj na mtume anafanya maombi
Mtumishi Thomas Baji akifungua kipindi kabla ya mafundisho kuanza
Mtumishi John Salu akiongoza katka wimbo wa kuabudu
binti huyu alikua amefungwa na roho za mizimu ya bibi yake kwa kurithi jina la bibi huyo. sasa anawekwa huru
Mtumishi wa Mungu Yohana Kangajaka akifanya maombezi ya mama aliyekuwa amefungwa na roho za mizimu
Haya tuimbe sasa tumsifu Bwana
Wanasemina ya Neno la Mungu wakimsifu Bwana usifiwe Bwana
Wapakwa mafuta wa Bwana wakiwa katika picha aliyevaa koti ni Ev Kangajaka kushoto kwake Mch Kangajaka junior kulia ni Baji junior
Waimbaji wakimtukuza Mungu katika ibada
Mchungaji Domic Singano wa kanisa la Kristo mfalme Makorora Tanga
Mtumishi wa Mungu Thomas Baji
Waumini wakifuatilia mahubiri katika ibada ya semina inayofanyika katika kanisa la Kristo mfalme Anglikana Makorora
Katika ibada mtumishi wa Mungu Yohana Kangajaka akihubiri
Machapisho Mapya
Machapisho ya Zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)