Jumamosi, 14 Desemba 2013

Leo katika Ibada ya Kwanza ambapo ndo siku ambao Mkutano wa Injili utaendelea Jioni Saa Tisa alasiri ni Katika Viwanja vya KKKT Usharika wa Handeni


Karibuni katika Mkutano wa Neno la Mungu inayoanza Kesho Jumapili Jioni saa 9:00 mpaka 12:00 Jioni,Wote Mnakaribishwa

God is Good,we are now in Handeni at KKKT.(Mungu ni mwema,Tupo Wilaya Handeni katika mkutano wa Injili hapa KKKT Usharika wa Handeni)WOTE MNAKARIBISHWA

Karibuni sana katika mkutano huu wa Injili wenye shida mbalimbali wataombewa kwa Jina La Yesu kupitia Mtumishi wake Yohana Kangajaka na Watumishi wengine wengi.Njoo ushuhudie mwenyewe maajabu ya Yesu Kristo