EV: Yohana Kangajaka Mobile: +255 (0) 715 279 702 YESU NI BWANA
Page
Home
Habari Za Mikutano
Ushuhuda Na Matukio
Mafundisho Na Semina
About Us
Contact Us
Our Services
Jumapili, 23 Februari 2014
mtumishi wa mungu akifundisha somo kuhusu upako ktk semina ya mungu kwenye kanisa la KKKT Pongwe Tanga
MTUMISHI WA MUNGU J.R KANGAJAKA AKIYAKEMEA MAPEPO KTK SEMINA YA MUNGU KTK KANISA LA KKKT PONGWE TANGA
MTUMISHI WA MUNGU AKIWA ANAPAMBANA NA MAPEPO KTK SEMINA YA MUNGU KTK KANISA LA KKKT PONGWE TANGA
MTUMISHI WA MUNGU KANGAJAKA JR AKIFANYA HUDUMA YA MAOMBEZI KATIKA MTAA WA PONGWE KANISA KKKT TANGA
Jumamosi, 22 Februari 2014
MTUMISHI WA MUNGU AKIFUNDISHA KATIKA IBADA YA SEMINA YA NENO YA MUNGU USHARIKA WA MUNGU TANGA MJINI
AMININI YESU KRISTO UPONE
ATUKUZWE MUNGU AWEZAYE KUFANYA MAMBO YOTE HALELUYA
WAUMINI WAKIWA WANAFUATIALIA NENO LA MUNGU KATIKA IBADA USHARIKA WA KANGE TANGA MJINI
MTUMISHI WA MUNGU JEREMIAH AKIFANYA HUDAMA KATIKA IBADA KANGE TANGA MJINI
KATIKA JINA LA YESU POKEA BINTI HUYU ALIKUWA AMEFUNGWA KATKA VIFUNGO SASA AMEFUNGULIWA JINA LA BWANA LIBARIKIWE
MTUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA AKIHUDUMU KATIKA USHARIKA WA KANGE TANGA MJINI
BINTI ALIYE MPOKEA YESU WAKATIA WA SEMINA YA NENO LA MUNGU BINTI HUYU ALIKUWA WA IMANI NYINGINE ALIMKIRI YESU KUWA BWANA NA MOKOZI
WAUMINI WAKISIKILZA NENO LA MUNGU KATIKA USHARIKA WA KANGE TANGA MJINI
WATUMISHI WA MUNGU WAKIWA WALIOKUWA WANAENDESHA HUDUMA YA SEMINA KATIKA USHARIKA WA KANGE NA MITAA YAKE JINA LA BWANA LIBARIKIWE
MCHUNGAJI GIDEON AKIWATAMBULISHA WATUMISHI WA MUNGU WALIOKUWA WANAENDESHA SEMINA KATIKA USHARIKA WA KANGE
Ijumaa, 21 Februari 2014
MTUMISHI WA MUNGU ERNEST KANGAJAKA AKIFUNDISHA SOMO JUU YA UPAKO
Jumapili, 16 Februari 2014
MTUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA AKIHUDUMU KATIKA IBADA ILIFANYIKA KATIKA MTAA WA BETHANIA
DADA HUYU AMEFUNGULIWA KUTOKA KATIKA VIFUNGO
MTUMISHI WA MUNGU YOHANAKANGAJA KA AKIFANYA YA MAOMBEZI KATIKA MTAA WA BETHANIA USHARIKA WA KANGE TANGA MJINI
waumini wa mtaa wa Bethania wakimtukuza Mungu katika ibada
Jumamosi, 15 Februari 2014
kwaya ya vijana bethania tanga wa
kimtukuza Bwana
Waacheni watoto wadogo waje kwangu na wala msiwazuie kwa maana ufalme wa mbingu niwao
Machapisho Mapya
Machapisho ya Zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)