Jumapili, 30 Machi 2014


WANA KWAYA WAKIMTUKUZA BWANA WAKATI WA IBADA
MTUMISHI WA BWANA AKIINGIA KANISANI
MTUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA AKIMWIMBIA BWANA
BWANA ANASEMA LISHA KONDOO ZANGU
AMINI USIAMINI MUNGU NI MUWEZA NA ANAFANYA MIUJIZA N A KUFUNGUA WALIOFUNGWA KWENYE VIFUNGO
MTUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA AKIKARIBISHWA NA MZEE WA KANISA
MTUMISHI WA MUNGU MAMA MCHUNGAJI BANALI AKIPITA KANDO YA NJIA KWA AJILI YA KUEPUKA KUKANYAGA MATOPE WAKATI WA HUDUMA ILIYOKUWA IKIENDELEA KATIKA KIJIJI CHA KWANG'WENDA
WATUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA NA MAMA MCHUNGAJI GODFREY BANALI WAKIWA WAMESHIKA VIATU VYAO KWA AJILI YA MATOPE KATIKA MOJA YA HUDUMA YA KIMISIONARI ILIYOFANYIKA KATIKA MILIMA YA SONI KWA NG'WENDA .WASIKIEJE WASIPO HUBIRIWA NA WAHUBIRIJE WASIPO PELEKWA  JINA LA BWANA LIBARIKIWE.