Jumatatu, 25 Agosti 2014

MAKUTANO WAKIONGOZWA SALA YA TOBA NA MTUMISHI WA MUNGU EV VAILET MTANI JINA LA BWANA LIBARIKIWE
MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA AKIHUBIRI WAKATI WA MKUTANO

UFALME WA ADUI ULIFITINIKA KWA KIWANGO CHA JUU BAADA YA KIONGOZI WA KAMBI YA WACHAWI KUKAMATWA
KILIKUWA NA NGUVU ZA MUNGU ZA KIWANGO CHA JUU KATIKA KUPONYA NA KUFUNGUA
MAKUTANO WAKISIKLIZA UJUMBE WA NENO LA MUNGU HAPA MWIKA KIRUENI JINA LA BWANA LIBARIKIWE
MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA AKIHUBIRI KATIKA MKUTANO WA INJLI MWIKA KIRUWENI
MTUMISHI WA MUNGU MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA AKIIMBA NA MWIMBAJI EMMANUEL NKYA KATIKA IBADA YA MKUTANO WA INJILI MARANGU MWIKA USHARIKA WA KIRUWENI
WATUMISHI WA MUNGU KULIA NI MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA KATIKATI EV VAILET MTANI KUSHOTO MWIMBAJI EMMANUEL NKYA NYUMA NI MWALIMU JAMES KAMERA WAKIJADILI JAMBO KWA AJILI YA HUDUMA MARANGU MWIKA KIRUENI  JINA LA BWANA LIBARIKIWE

HALELUYA TUNA MSHUKURU MUNGU MAANA BADO ANA TUPIGANIA NA SASA TUPO MOSHI MARANGU KWA HUDUMA TUMEONA MKONO WA MUNGU UKITENDA KAZI KWAKUWAFUNGUA WALIOFUNGWA NA KUOKOA KATIKA MILIMA HII

Jumapili, 17 Agosti 2014


BABA ASKOFU KIMBE AKIHUBIRI WAKATI WA IBADA YA NDOA KATI YA MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA NA JOYCE RAUO
KUNA FURAHA YA NAMNA YAKE SIKU AMBAYO BWANA AMEIFANYA MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA AKIWA ANAJIBU SWALI ALILO ULIZWA NA BABA ASKOFU KIMBE WA DORCAS MINISTRY CHURCH WAKATI WA IBADA YA NDOA

WATOTO NAO WALIKUWA NA FURAHA SANA HII ILIKUWA NIYA NAMNA YAKE
NIFURAHA SANA HAPA DOCAS MINISTRY CHURCH KUONA WAWILI HAWA WAKIWA NA SURA ZA KUTABASAMU
MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA AKIKABIDHIWA BI JOYCE NA MAMA YAKE JOYCE HAPO DOCAS MINISTRY CHURCH KUNDUCHI DARE ES SALAAM TANZANIA
MCHUNGAJI TUMAINI KALEGHE KATIKATI KUSHOTO AKIWA NI MWANAWE JOSEPH WAKATI WA KUSUBIRI NDOA YA MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA NA BI JOYCE
MCHUNGAJI TUMAINI AKIWA ANAFURAHIA JAMBO WAKATI WA NDOA KATI YA MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA NA JOYCE

BWANA DAVID CHANYEGHEA AMBAYE NDIO BEST MAN WA MCHUNGAJI YOHANA KANAJAKA WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA
 NJE YA UKUMBI WA DOCAS MINISTRY CHURCH KABLA YA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA BI JOYCE RAUO NA MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA BI JOYCE AKIWA NA MAMA YAKE
BI JOYCE RAUO AMBAYE KWA SASA NI MAMA MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA AKIWA SALOON JIJINI  DARE-ES SALAAM  KABLA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA
HALELUYA SIFA NA UTUKUFU NI KWA BWANA YESU MCHUNGAJI TUMAINI KALAGHE KUSHOTO MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA KATIKATI PAMOJA NA MKURUGENZI WA TAYODEA BWANA DAVID CHANYEGHEA WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA KUFUHIA SIKU ALIYOIFANYA BWANA AMBAPO MCHUNGAJI YOHANA KANGAJAKA ALIFUNGA NDOA NA JOYCE LAUO .NDOA HII ILIFUNGWA DOCAS MINISTRY CHURCH HUKO KUNDUCHI DARE ES LAAM TANZANIA