Jumamosi, 6 Julai 2013

MTENGANO




“SEPARATION” (Gen 28:10-15)
       Now Jacob went out from Beersheba and went towards Haran(Yakobo akatoka Beesheba kwenda harani(separation).Mungu anapotaka kukutumia katika njia Fulani lazima akutoe mahali Fulani uliyoyazoea marafiki uliowazoea eneo ulilolizoea lazima alete mtengano Fulani ambao utakaondoa  katika mtazamo uliouzoea na hapo huanza kuchonga tabia yako kwa njia mpyaMungu ataka kumtumia Yakobo lazima amchonge tabia yake tokea Beersheba in order to maintain characters yake aweze kufiti katika jambo jipya na mtazamo mpya sio kila mtengano tunaouona ni wa shetani  la hasha “separation its must”yapo matengano katika kila nyanja yatakuwepo katika dini,yatakuwepo katika jeshi yatakuwepo katika siasa,yatakuwepo  katika uchumi.Kuchongwa kwa mtazamo mpya funguka macho ewe Mtanzania usishangae unayo yaona leo watu wa Mungu sogeeni mbele za Mungu atupe sababu za mtengano uliopo ili usiingie katika kujiumiza mwenyewe Tanzania ni yetu hata tukienda harani tutarudi tena Tanzania lakini tuwe tumeingia katika mpango wa Mungu yawezekana hata wewe umefikia mahali Fulani umeanza kuwachukia watu Fulani lakini sikiliza acha chuki zako,ziwe kisiasa au dini au kijeshi au kiuchumi pokea mtazamo mpya ukijua tunachongwa.Kuchongwa wakati wote kunaleta maumivu lakini usitoke mikononi mwa mchongaji ili ufanyike kitu bora tunza amani yake uwe na hekima kamili ya Kimungu.Hekima maana yake ni maarifa yenye busara katika kujilinda wewe na kumlinda mwingine,ukikosa maarifa ni hatari nyingine yapo maangamizo Hosea 4:6 My people are destroyed for luck of knowledge.(Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa)
        Hapa tunazungumzia divine knowledge,maarifa ambayo yanatokana na zile roho saba za Mungu Isaya 11:2-3 i)Roho ya Bwana 2)roho ya hekima 3)roho ya ufahamu 4)roho ya ushauri 5)roho ya uweza 6)roho ya maarifa 7)roho ya kumcha Bwana(na furaha yake  itakuwa katika kumcha Bwana wala hata kuhukumu kwa kufuata uonayo kwa macho yake wala hutaonya kwa kuyafuata ayasikiayo kwa masikio yake,mara nyingi kunapotokea tatizo lolote wengi wetu tunahukumu kwa vile tusikiavyo na kuona,hiyo ni  ya kutembea katika viwango vya kimtu sisi tulio wa imani tusimame mbele za Mungu atupe maana ya mambo tusiyoyaona mambo katika mtazamo wetu bali mtazamo wa Mungu kwa sababu hatuoni mambo kama yalivyo Yakobo 4:14 (Why you do not even know what will happen tomorrow,what is your life?You are a mist(shadow) that appears for little time and then vanish away. Inaendelea……………………………………………………….

Hakuna maoni: