Jumamosi, 13 Julai 2013

NDANI YA MBEYA

Mtumishi wa Mungu Ev Yohana Kangajaka anaendelea na Huduma ya Kulihubiri neno la Mungu akishirikiana na Askofu Allenchisa Cheyo wa Morovian

SEHEMU:MBEYA Maeneo ya MBALIZI Katika Kanisa la KKT Usharika wa Mbalizi





Somo la leo:Kukumbukwa na Mungu Kutoka Mwanzo 8:1-2(Na Mungu akamkumbuka Nuhu na kila kilicho hai,na wanyama wote waliokuwemo pamoja nae katika safina,Mungu akavumisha upepo juu ya nchi maji yakapungua,chemichemi za vilindi vikafungwa pia na madirisha ya Mbinguni,mvua kutoka mbinguni ikazuiliwa)Karibu na Fuatilia mahubiri kupitia Blog Yetu pia katika Youtube ya Yohana Kangajaka unapata masomo kwa njia ya sauti pia na video:Pia wasiliana nasi kupitia sim no.+255 758 456 221 au kwa email Jackyohane@yahoo.com or spiritulvoiceministry@yahoo.com websites:www.spiritualvoiceministry.webs.com pia facebook ya Yohana kangajaka

Hakuna maoni: