NDOA NA FAMILIA
Kama tulivyo kwisha
ona kwamba ndoa sio mkataba na kama
Mhashamu Baba Askofu Dr Steven E Munga alivyo tufundisha.Ni kweli kwamba ndoa
ya kikristo sio mkataba bali ni Agano,sababu mkataba unalindwa na sheria bali
Agano sivyo ni kuaminiana(Trust)
Hivyo ndoa
ilianzishwa na Mungu mwenyewe Mwanzo 2:24 (Therefore a man shall leave his
father and mother and joined to his wife and they shall become one flesh)na
Mt 19:4-6 .Yesu aliibariki harusi kwa
kuwepo kwake na kutenda muujiza Yn 2:1-11 Lakini je ni kweli katika ndoa zote
za kikristo Yesu anahusiswa?Yesu anaalikwa?Hapo ndipo penye tatizo na kugundua
kwamba si kila ndoa imeunganishwa na Jehova.Wengine wameunganiswa na tama zao
tu na ndio maana hizo zinabaki kwenye mkataba na sio agano Yesu kuwepo kwake
lazima kuwe na relationship ya mtu na Mungu uwepo wake maana yake roho wake au
mkono wake wengine wameolewa na madawa yaani ngekewa hapo shida tupu acha
ugomvi na ubinafsi Mungu anakuunga nae naye huondoa ubinafsi sio vinginevyo
hapo ndio kuambatana kuna kuwepo
Inaendelea........................................... .........
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni