Mtumishi Violet akihubiri Juu ya Ukombozi
Matendo ya mitume 17:16 (Paulo alipokuwa akiwangojea huko Athene na kuona jinsi mji ule ulivyojaa sanamu,roho yake ilichukizwa sana ndani yake)
Efeso 3:5 (Siri hiyo hawakujulishwa wanadamu katika vizazi vingine,kama walivyofunuliwa Mitume wake na Manabii zamani hizi katika Roho)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni