KUWA KUTOKA KATIKA UTOTO NA FANYIKA MWANA WA MUNGU
Yn 1:12
Bali wote waliompokeaa aliwapa uwezo wa kufanyika
watoto wa Mungu.Ndio wale waliaminio jina lake.(Yoshuan)Mkombozi,naye Jehova
ataka tukue toka motto tufikie utu uzima.Ziko hatua 3
·
Teknion
·
Teknon
·
Hunioth(luiothesia)
Ebr 5:13-14.(Kwa
maana kila mtu atumiaye maziwahajui sana neno la haki,kwa kuwa ni mtoot
mchanga.14 lakini chakula kigumu ni cha watu wazima,ambao akili zao,kwa
kutukiwa zimezoezwa kupambanua mema na mabaya) Acha kujivunia udhehebu,jivunie
mwokozi pekee yake ndiye njia yaw ewe kutoka katika vifungo ndiye kweli,ndiye
uzima,Paulo anasema Rum 8:15(Kwa kuwa hamkupokea tena roho ya utumwa iletayo
hofu,bali mlipokea roho wa kufanywa wana,ambayo kwa hiyo twalia Aba,yaani Baba)
tuwekwa kama wana baba atuamini,,,ukisoma Yn 2:23-25(hata alipokuwa Yerusalemu
wakati wa Pasaka,watu wengi waliliamini jina lake………………………………) (Gal 4:1-2)
Exosia=haki,faida,mamlaka mfano Tukimpokea Yesu tunapokea
haki ya wana Ebra 4:15,,,,pengine unja haki ya hao warithio ahadi bali
kutokuamini kutakukoshesha Ebr 6:12 (ili msiwe wavivu bali mkawe wafuasi wa hao
warithio ahadi kwa imani na uvumilivu) na 1kor 3:1-2,7,,,,,,,,,,pevuka urithi
ahadi umeahidiwa Exosia ya uana sio udini pevuka ili uwe vile Mungu
anavyokusudia uwe,toka horini luka 2:7(Akamzaa mwanawe kifungua mimba,akamvika
nguo za kitoto,akamlaza katika hori la kulia ng’ombe,kwa sababu hawakupata
nafasi katika vyumba vya wageni)….1Yn 2:12-13 keti katika waalimu luka 3:23(Na
Yesu mwenyewe alipoanza kufundisha,alikuwa amepata umri wake kama miaka
thelathini,akidhaniwa kuwa ni mwana wa Yusufu,wa Eli)uwekwe kama mwana,sio
kumuamini tu bali Bwana kujiaminisha kwako.uwe na uwezo wa kufanya suluhu Mt
3:16…Mbingu zinamfunukia kutoa uzima uponyaji,jua la haki linawaka sasa........
Barikiwa sana kwa kuendelea kufuatili
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni