Jumapili, 13 Oktoba 2013

Haleluya tunamshukuru Mungu kwa ukuu wake na uweza maana ametupa kibali sasa tupo Mji wa Mombo kwa huduma ya mkutano wa injili katika kanisa la KKKT Usharika Mombo

Hakuna maoni: