Jumatano, 26 Novemba 2014
YOHANA 8:32
NENO KUU LA MKUTANO
Lipo uhitajikatika kanisa la leo la kufunguliwa kutoka katika vifungo kwa njia ya ufahamu wa kumjua yeye afunguaye naye ni Yesu kwa njia ya kutoa kipaumbele cha kila mmoja katika ukweli wa neno la Mungu tukiwa na true knowledge katika Mungu asemacho ili tusiishi chini ya viwango na kugandamizwa na nguvu za giza na kama wakrisisi ni vichwa sio mikia sisi ni zaidi ya washindi tunahitaji kuona ukombozi wetu na watoto wetu,na wa mali zetu,tni pale tu tutakapoifahamu kweli Yesu amekuja ili tuwe na uzima kisha tuwe nao tele.Jicho la ufahamu wetu likomboe maisha yetu kwa njia ya kumtazama Yesu wala sio mtume fulani wa kututoa katika vifungo wala nabii fulani Yesu ndio njia ya ukombozi wetu
Nguvu za Mungu zinavyofanya kazi ya Kufungua watu katika vifungo mbalimbali Kwa Jina la Yesu
MTUMISHI YOHANA KANGAJAKA AKIWA KATIKA HUDUMA YA MAOMBEZI PAMOJA NA TIMU YA SPIRITUAL VOICE MINISTRY
Jumanne, 25 Novemba 2014
MKUTANO WA KIROHO UNAOENDELEA MAGAMBA LUSHOTO
MTUMISHI YOHANA KANGAJAKA AKIHUBIRI KATIKA MKUTANO HUO JUU YA LAANA AMBAZO ZINATOA UHURU WETU KWA YESU
SOMO YOHANA 8:32
Jumamosi, 22 Novemba 2014
MKUTANO WA KIROHO DKMs KKKT MAGAMBA USHARIKA WA COST KANISANI
MKUTANO WA KIROHO MAGAMBA 23 november hadi 30 2014
MTUMISHI YOHANA KANGAJAKA NA TIMU YAKE YA SPIRITUAL VOICE ATAHUDUMU KWENYE MKUTANO HUO
mahali ni katika viwanja vya KKKT USHARIKA WA MAGAMBA DKMs
TUNAWAKARIBISHA WATU WOTE,WADINI ZOTE, NA KABILA ZOTE
NJOO UPOKEE MUUGIZA WAKO NA WALETE WAGONJWA NA WATU WENYE SHIDA MBALIMBALI WATAOMBEWA NA KUPONA KWA JINA LA YESU
MUDA NI kuanzia SAA 09:00 Mpaka 12:00 jioni
NYOTE MNAKARIBISHWA
Jumatano, 29 Oktoba 2014
Jumapili, 19 Oktoba 2014
Jumamosi, 18 Oktoba 2014
Ijumaa, 17 Oktoba 2014
Alhamisi, 16 Oktoba 2014
TOKA KATIKA UHURU WA BENDERA
Yoh 10:10
Lipo hitaji la ufahamu katika kanisa la leo haswa kuhusiana
na laana na ukombozi Mungu kamwe hambariki mjinga. Bali wenye ufahamu
(intelligence and true knowledge ) katika kile Mungu asemacho
Wengi wanaishi katika kushindwa na wanashangaa ziko wapi ahadi za ushindi kwa
wana wa Mungu.Biblia inatuambia sisi ni vichwa sio mikia inatujulisha kuwa sisi
ni zaidi ya washindi Je Twaweza ishi
katika level hiyo?
Tunahitaji mkombozi maana zipo nguvu katika ulimwengu war
oho zinazo haribu Baraka zote , Afya zetu mafanikio yetu . I wapo
hutakombolewa nazo zitakupindisha hadi
ushindwe kuona ahadi zake.
Tunahitaji kuona ukombozi katika mali zetu , watoto wetu,
kazi zetu , biashara zetu. Tunataka ona mbadiliko pia tunataka kuyafurahia
Maisha kuburudishwa katika ndoa zetu na tusitamani kufa mapema hadi umwambie
yesu upesi (life is so sweet) usiwe miongoni mwa hao wanaotka wakaburudishwe
Mbinguni hata hapa Mungu anataka atuburudishe.
Uzima tele vipi leo katika biashara mkia darasani mkia
katika ofisi mkia sio mpango wa Jehova. Jesus came that we may have life and
that we may have it more abundantly.Jicho la ufahamu likomboe maisha yako. Laana
ni lugha ya dhambi au makosa tuliofanya au yaliofanywa na wakale. Ndio inaitwa
Laana yale matokeo ambayo yanafanya kazi kuharibu hatima yako .Huharibu na
kuzuia yale unayopaswa kuyapata wakati mwingine ni yakushindwa kutii yale Mungu
alichosema . Kumb 28:15-16 (lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya Bwana ,
Mungu wako, usiangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake,nikuaagizazo hivi
leo, ndipo zitakapokujua laana hizi zote na kukupata .uta laaniwa mjini,
utalaaniwa na Mashambani.
Hata uhame mji au kazi au biashara viko vizuizi vya
mafanikio yako vitakufuata .Lazima awepo wakuvisemea sio Askari wako wala Mtume
wala Nabii wala kiongozi wa Dini Mungu
mwenyewe mjue ili uwe huru yoh 8:32
(Tena mtaifahamu kweli, na hiyo kweli itawaweka huru.) 1kor 6:16-18 (Au
hamjui yakuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili umoja naye? Maana asema ,wale
wawili watakao kuwa mwili mmoja. Lakini yeye aliyeungwa na Bwana ni roho naye
.ikimbieni zinaa .Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwli wake;ila yeye
afanyaye zinzaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe .)Kumbuka hata
kuzungumza neno la kweli safi toka kwa Mungu nihadi uwe umekombolewa na hofu za
watu.( We can speak apure word from God unit we are delivered from the fear of man and desire for man’s recognition
and acceptance .) mpendwa haijalishi kukubaliwa na watu kombolewa na hofu za watu uwe na hofu ya
Mungu kombolewa toka kikabila cha watu. Tusitazame mambo kwa interest za watu
huo ni mtego (it will be stumbling block.
Jumamosi, 13 Septemba 2014
Jumatatu, 25 Agosti 2014
Jumapili, 17 Agosti 2014
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)