Jumatano, 26 Novemba 2014
YOHANA 8:32
NENO KUU LA MKUTANO
Lipo uhitajikatika kanisa la leo la kufunguliwa kutoka katika vifungo kwa njia ya ufahamu wa kumjua yeye afunguaye naye ni Yesu kwa njia ya kutoa kipaumbele cha kila mmoja katika ukweli wa neno la Mungu tukiwa na true knowledge katika Mungu asemacho ili tusiishi chini ya viwango na kugandamizwa na nguvu za giza na kama wakrisisi ni vichwa sio mikia sisi ni zaidi ya washindi tunahitaji kuona ukombozi wetu na watoto wetu,na wa mali zetu,tni pale tu tutakapoifahamu kweli Yesu amekuja ili tuwe na uzima kisha tuwe nao tele.Jicho la ufahamu wetu likomboe maisha yetu kwa njia ya kumtazama Yesu wala sio mtume fulani wa kututoa katika vifungo wala nabii fulani Yesu ndio njia ya ukombozi wetu
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni