Katika Semina ya Wazee wa Kanisa
Ev.Yohana Kangajaka Pamoja na Wazee wa Kanisa baada ya Semina yao wakiwa na Mchungaji wao Kiongozi Mchg Shekizongolo
katika picha ya pamoja baada ya Semina iliyoongozwa na Mtumishi wa Mungu Kangajaka
ambapo somo lilihusu "
"Kutoka katika vifungo"
watu wengi wamo vifungoni pasipo kujua hawaelewi tofauti baina ya zaka,misaada na sadakaiko tofauti kubwa sana baina ya matoleo haya napenda ujue faida zake na kanuni za matoleo haya ili utembee katika upya uhuru wa fedha katika ahadi ya neno la Mungu Zab 138:2 "Ameikuza ahadi yake kuliko jina lake lote"
Tuache kuzunguka na kusema amini upokee na wakati atutendi neno la Mungu japo unaongea Andiko,Mungu hataki maneno mazuri tu anataka utendaji wa neno
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni