NENO LA UFUNUO KWA DADA HUYU ALIYEKUWA ANASUMBULIWA NA TATIZO UVIMBE KWA MIAKA MINGI NA MGUSO WA YESU ULIPOMGUSA ALIPATA MUUGIZA WAKE WA KUONDOLEWA UVIMBE HUO
Ni katika ibada ya Kwanza wakati Mtumishi wa Mungu akihubiri Juu ya Karama za Roho Mtakatifu alipata ufunuo wa Roho Mtakatifu Juu ya Tatizo la Uvimbe lililokuwa linamsumbua Dada Huyu Ambapo alieleza ya kwamba amezunguka sana katika hospitali nyingi sana Bila mafanikio ila kwa Mkono wa Yesu Dada huyu ameondolewa Uvimbe wake
Mtumishi akimwekea Mkono katika Uvimbe na kwa mkono wa Yesu uvimbe ulipotea
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni