SEMINA YA NENO LA MUNGU
KUTAKUWA NA SEMINA YA NENO LA MUNGU ITAKAYOFANYIKA MARAMBA TANGA KUANZIA TAREHE 12/06/2014 MPAKA TAREHE 19/06/2014
MTUMISHI WA MUNGU EV.YOHANA KANGAJAKA ATAHUDUMU KATIKA SEMINA HIYO
PAMOJA NA TIMU NZIMA YA SPIRITUAL VOICE MINISTRY.
WALETE WENYE MAGONJWA NA SHIDA MBALIMBALI WATAOMBEWA KWA JINA LA YESU,,,,,,,,,,,,,,,,YESU ANAWEZA KUTOA SHIDA YAKO NJOO UPOKEE MUUJUZI WAKO LEO
ISAYA 59:19 "Basi wataliogopa jina la BWANA toka magharibi,na utukufu wake toka maawio ya jua;maana yeye atakuja kama mkondo wa mto ufurikao,uendeshwao kwa pumzi ya BWANA."
BWANA YESU ASIFIWE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni