Jumatano, 26 Novemba 2014

YOHANA 8:32

NENO KUU LA MKUTANO
YOHANA 8:32 And He shall know the truth and the truth shall make you free (*Tena mtaifahamu kweli na hiyo kweli itawaweka Huru)

Lipo uhitajikatika kanisa la leo la kufunguliwa kutoka katika vifungo kwa njia ya ufahamu wa kumjua yeye afunguaye naye ni Yesu kwa njia ya kutoa kipaumbele cha kila mmoja katika ukweli wa neno la Mungu tukiwa na true knowledge katika Mungu asemacho ili tusiishi chini ya viwango na kugandamizwa na nguvu za giza na kama wakrisisi ni vichwa sio mikia sisi ni zaidi ya washindi tunahitaji kuona ukombozi wetu na watoto wetu,na wa mali zetu,tni pale tu tutakapoifahamu kweli Yesu amekuja ili tuwe na uzima kisha tuwe nao tele.Jicho la ufahamu wetu likomboe maisha yetu kwa njia ya kumtazama Yesu wala sio mtume fulani wa kututoa katika vifungo wala nabii fulani Yesu ndio njia ya ukombozi wetu
by !@yohana kangajaka

Nguvu za Mungu zinavyofanya kazi ya Kufungua watu katika vifungo mbalimbali Kwa Jina la Yesu




MTUMISHI YOHANA KANGAJAKA AKIWA KATIKA HUDUMA YA MAOMBEZI PAMOJA NA TIMU YA SPIRITUAL VOICE MINISTRY

Jumanne, 25 Novemba 2014

MKUTANO WA KIROHO UNAOENDELEA MAGAMBA LUSHOTO

 MTUMISHI YOHANA KANGAJAKA AKIHUBIRI KATIKA MKUTANO HUO JUU YA LAANA AMBAZO ZINATOA UHURU WETU KWA YESU
SOMO YOHANA 8:32






Jumamosi, 22 Novemba 2014

MKUTANO WA KIROHO DKMs KKKT MAGAMBA USHARIKA WA COST KANISANI

MKUTANO WA KIROHO MAGAMBA 23 november hadi 30 2014
MTUMISHI YOHANA KANGAJAKA NA TIMU YAKE YA SPIRITUAL VOICE ATAHUDUMU KWENYE MKUTANO HUO
mahali ni katika viwanja vya KKKT USHARIKA WA MAGAMBA DKMs
TUNAWAKARIBISHA WATU WOTE,WADINI ZOTE, NA KABILA ZOTE 
NJOO UPOKEE MUUGIZA WAKO NA WALETE WAGONJWA NA WATU WENYE SHIDA MBALIMBALI WATAOMBEWA NA KUPONA KWA JINA LA YESU 
MUDA NI kuanzia SAA 09:00 Mpaka 12:00 jioni
NYOTE MNAKARIBISHWA