Alhamisi, 24 Septemba 2015
Jumanne, 22 Septemba 2015
Jumatatu, 21 Septemba 2015
The overcoming life 1John 4:4 By Pastor Yohana Kangajaka
The overcoming life 1John 4:4
Your are of God
Asili yetu wakristo sio hapa duniani Yohana anashuhudia akionyesha asili yetu asili yake ipo kwa Mungu kwa maneno mengine wakristo wamezaliwa na Mungu hivyo wana maisha ya asili ya Mungu, ni muhimu kujua hili
Haisemi Biblia kuwa tutashinda inasema tumeshinda {you shall overcome them but it says you have overcome throne this is not a promise it is a statement of fact your not trying to overcome you have overcome already.} na haisemi umewashinda kwa sababu mna nguvu mno sana au sababu ni wakristo wa kiroho sana bali inasema umewashinda kwa kuwa aliye ndani yangu ni mkuu kuliko aliye duniani
Kwa lugha nyingine huwezi kushinda chochote iwapo Yesu hayumo ndani yako, sio mtazamo kidhehebu kwa Yule aliye hai ndani yako unapata uhamisho katika ulimwengu wa roho Kolosai 1:13 who has deliverd us from the power of the darkness and translate us into the kingdom of His dearson.Mtu wa asili yupo katika utawala wa adui kwa hiyo anahitaji ukombozi, Mtu mpya ametolewa katika milki ya shetani na kuingizwa katika ufalme wa mwana wa pendo lake Mungu
Mtu mpya hahitaji ukombozi bali mtu mpya ametolewa katika milki ya adui ameingizwa katika milki ya Mungu mwenyewe, elewa maisha ya ushindi ni pale mtu anapozaliwa mara ya pili. Maisha ya adamu wa kale ambayo yalishikwa na dhambi na kifo yamebadilishwa na amekuwa kiumbe kipya 2kor 5:17 sasa hiki kiumbe kipya kina asili mpya ya Mungu na hakuna awezaye kuyaharibu tena sio kifo wala magonjwa 1Yn 4:4 Maisha yake yanatenda Kiungu.
Mk 16:17—18 elewa sio ahadi bali ni udhihirisho wa ukweli {statement if fact} uwapo imeokoka Yesu yupo ndani yako wewe sio mtumwa wa magonjwa tena [your no longer subject to disease]
MKUTANO WA INJILI WELEI
MAKUSANYIKO YA MAMIA WATU WAKIMKABIDHI YESU MAISHA YAO MUNGU ANAONEKANA KWA JINA LAKE
MTUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA AKIFANYA HUDUMA YA MAOMBEZI KWA WENYE SHIDA MBALIMBALI KATIKA MKUTANO HUKU MAMIA YA WATU WAKIMKABIDHI YESU MAISHA YAO
KIDOLE CHA MUNGU KIKIKUGUSA HAKUNA NGUVU YOYOTE INAYOWEZA KUSIMAMA
Ijumaa, 18 Septemba 2015
MKUTANO WA INJILI WELEI SOKONI kOROGWE, Tanga
MKUTANO MKUBWA WA INJILI WELEI KOROGWE MKOA WA TANGA NJIA YA KUELEKEA LUTINDI TUNAWAKARIBISHA WATU WOTE WA KABILA ZOTE NA DINI ZOTE NJOO USHUHUDIE MAAJABU YA MUNGU NA UWEZA WAKE
WTUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA PAMOJA NA EV. HIZA NGULIZI WATAHUDUMU PAMOJA KWAYA MBALIMBALI NA WAIMBAJI MBALIMBALI KUTOKA DAR ES SALAAM, DODOMA PAMOJA NA TIMU YA PRAISE AND WORSHIP KUTOKA KOROGWE TANGA
Jumanne, 28 Julai 2015
Ijumaa, 24 Julai 2015
Jumamosi, 7 Machi 2015
RECEIVE IT IN THE NAME OF JESUS ......type AMEN To Receive
All problem and every arrow of enemy,every demons and demonic spirit by the power of lord Jesus Christ may it be out and i set you free in The name of Jesus Christ.
PROPHETIC WORD (NENO LA KINABII)
MTUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA AKIMFANYIA HUDUMA YA MAOMBI DADA HUYU AMBAYE ALITOLEWA MBELE KWA NENO LA UFUNUO WA ROHO MTAKATIFU ALILOPEWA MTUMISHI JUU YA SHIDA ILIYOKUWA INAMSUMBUA BINTI HUYU JINA LA BWANA LIBARIKIWE BINTI HUYU AMEKUWA HURU
Alhamisi, 26 Februari 2015
SEMINA TAREHE 01/03/2015 MPAKA TAREHE 08/03/2015 VIWANJA ANGLIKANA TTC KOROGWE
SEMINA TAREHE 01/03/2015 MPAKA TAREHE 08/03/2015 VIWANJA ANGLIKANA TTC KOROGWE
SEMINA YA NENO LA MUNGU
Karibuni wote kwenye semina ya neno la Mungu itakyofanyika katika viwanja vya kanisa la Anglikana Korogwe pale TTC Mtumishi Yohana Kangajaka pamoja na timu nzima ya Spiritual voice Ministry watahudumu katika semina hiyo
Posted by Bless Msele
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)