The overcoming life 1John 4:4 By Pastor Yohana Kangajaka
The overcoming life 1John 4:4
Your are of God
Asili yetu wakristo sio hapa duniani Yohana anashuhudia akionyesha asili
yetu asili yake ipo kwa Mungu kwa maneno mengine wakristo wamezaliwa na Mungu
hivyo wana maisha ya asili ya Mungu, ni muhimu kujua hili
Haisemi Biblia kuwa tutashinda inasema tumeshinda {you shall overcome them
but it says you have overcome throne this is not a promise it is a statement of
fact your not trying to overcome you have overcome already.} na haisemi
umewashinda kwa sababu mna nguvu mno sana au sababu ni wakristo wa kiroho sana
bali inasema umewashinda kwa kuwa aliye ndani yangu ni mkuu kuliko aliye
duniani
Kwa lugha nyingine huwezi kushinda chochote iwapo Yesu hayumo ndani yako,
sio mtazamo kidhehebu kwa Yule aliye hai ndani yako unapata uhamisho katika
ulimwengu wa roho Kolosai 1:13 who has
deliverd us from the power of the darkness and translate us into the kingdom
of His dearson.Mtu wa asili yupo katika
utawala wa adui kwa hiyo anahitaji ukombozi, Mtu mpya ametolewa katika milki ya
shetani na kuingizwa katika ufalme wa mwana wa pendo lake Mungu
Mtu mpya hahitaji ukombozi bali mtu mpya ametolewa katika milki ya adui
ameingizwa katika milki ya Mungu mwenyewe, elewa maisha ya ushindi ni pale mtu
anapozaliwa mara ya pili. Maisha ya adamu wa kale ambayo yalishikwa na dhambi
na kifo yamebadilishwa na amekuwa kiumbe kipya 2kor 5:17 sasa hiki kiumbe kipya kina asili mpya ya
Mungu na hakuna awezaye kuyaharibu tena sio kifo wala magonjwa 1Yn 4:4 Maisha
yake yanatenda Kiungu.
Mk 16:17—18 elewa sio ahadi bali ni udhihirisho wa ukweli {statement if
fact} uwapo imeokoka Yesu yupo ndani yako wewe sio mtumwa wa magonjwa tena
[your no longer subject to disease]
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni