Extraordinary Invitation
(Mwaliko usio wa kawaida)
John 7:37 john 4:10,14 ikor 10:4 and exodus 16:4, 14-15, 17:6
Chota katika kisima cha uzima, maneno haya yanamaanisha viko visima vingi,
lakini fahamu vingine vina maji machungu yanayoleta uchungu na uharibifu. Kuna
kisima kimoja cha pekee chenye maji ya uzima, maji yaburudishayo jangwani na
mwamba huu ulioko jangwani jina lake ni Kristo Yesu wakati umekata tamaa hilo
ni jangwa lako wakati umevunjika moyo,unachohitaji ni macho yaonayo ili uone
hiki kisima cha chemichemi ya amani,furaha,kitakupa changamko na afya kamwe ukipata maji haya
hutazimia jangwani utapata nguvu mpya “you will not faint”
Ukiwa na roho ya kujiona hapo ni vigumu kupata haya maji na ni vigumu
kupata muugiza wako lakini chemichemi ya maji katika mwamba ndio pekee yenye
maji safi na hilo tatizo ulilonalo lipo katika mtazamo,nia safi ni muhimu iwapo
unataka kupokea muugiza wako na umtukuze Mungu. Kabla ya kuchota maji jihoji
kwanza ili usije chota katika chombo kichafu mithali 4:23 (watch over you heart
with all diligence for from it flow the spring of life) Je unalinda nini? Dini
yako? Mumeo,mkeo,mwanao utajiri wake,heshima yako,hebu litende haki neno la
Mungu ili uone maajabu ya mwamba wa jangwani.
Kiriba chako cha maji kiunganishe na jabali ili uone wokovu katika afya
yako,biasahra yako,elimu yako, maneno usemayo yatawaburudisha wengine na
kuwaletea afya,moyo wenye uzaima wa Mungu mwenyezi Mith 14:30
Hutawajeruhi wengine kama panga na mishale ya sumu maana umeinua karama ya
Mungu umeyaomba maji toka mwaruba wa
milele maana moyo una uhusiano wa karibu na mdomo, moyo ukiugua unahataridha
maisha yako unaweza hata kufa kabla ya wakati wako chota leo mith 12:18 kabla
hujaongea fikiri kwanza ,
Moyo unauwezo wa kuamua litakalotokea katika mwili,moyo wenye amani huleta
uzima kwa mwili,linda sana moyo wako.Acha kuozesha mifupa kwa husuda na
mashindano. Mith 18:14 stahihi tunza stawisha,lisha beba,
inua,linda,saidia,tetea mwili wako na kuupatia mahitaji muhimu kwa ajili ya
kuishi roho yako yakibinadamu itaweza kubeba na kulinda,kutunza mwili wako uwe
na afya bila kujali hali mbaya unazokutana nazo roho yako inaweza na ukaendelea
kuishi maana umeunganisha kiriba chako na mwamba wa chemichemi ya uzima hivyo
nia ya kuishi inakutegemeza mara utakapokuwa mgonjwa maana roho yako ina uzima
ndio itasambaza uzima katika mwili wako pia
Lakini ukipoteza tumaini lako hata ukioombewa unajisumbua tu. Nia ya kuishi
lazima itoweke kamwe usiondoke katika imani yako wala katika ahadi za maisha
marefu nia ya kuishi ndio inayoweza kumtegemeza mwamini hata atakapotishwa na
magonjwa yasiyotibika kama nia ipo na njia ya kuishi ipo itasimamisha
usalama.Ponya roho kwanzana roho itaponya mwili Mith 17:22 nilile neno la Mungu
lililopo mdomoni mwetu ndilo huponya roho Rum 7:22, 2kor 4:16
Acha utu wa ndani ufanywe upya utu wa nje utaongozwa toka ndani Yer 29:13 mtafute huyu mwamba jijaribu
mwenyewe 2kor 13:5 na ujiweke wakfu mwenyewe Yn 17:19 na 1yn 1:8-9 this is the message we have from Him and
proclaim to you, that God is light and in Him there is no darkness at you 1 Yn 1:7
posted by @bless msele
Mkabidhi Yesu maisha yako na awe Bwana na Mwokozi wa Maisha yako
The overcoming life 1John 4:4
Your are of God
Asili yetu wakristo sio hapa duniani Yohana anashuhudia akionyesha asili
yetu asili yake ipo kwa Mungu kwa maneno mengine wakristo wamezaliwa na Mungu
hivyo wana maisha ya asili ya Mungu, ni muhimu kujua hili
Haisemi Biblia kuwa tutashinda inasema tumeshinda {you shall overcome them
but it says you have overcome throne this is not a promise it is a statement of
fact your not trying to overcome you have overcome already.} na haisemi
umewashinda kwa sababu mna nguvu mno sana au sababu ni wakristo wa kiroho sana
bali inasema umewashinda kwa kuwa aliye ndani yangu ni mkuu kuliko aliye
duniani
Kwa lugha nyingine huwezi kushinda chochote iwapo Yesu hayumo ndani yako,
sio mtazamo kidhehebu kwa Yule aliye hai ndani yako unapata uhamisho katika
ulimwengu wa roho Kolosai 1:13 who has
deliverd us from the power of the darkness and translate us into the kingdom
of His dearson.Mtu wa asili yupo katika
utawala wa adui kwa hiyo anahitaji ukombozi, Mtu mpya ametolewa katika milki ya
shetani na kuingizwa katika ufalme wa mwana wa pendo lake Mungu
Mtu mpya hahitaji ukombozi bali mtu mpya ametolewa katika milki ya adui
ameingizwa katika milki ya Mungu mwenyewe, elewa maisha ya ushindi ni pale mtu
anapozaliwa mara ya pili. Maisha ya adamu wa kale ambayo yalishikwa na dhambi
na kifo yamebadilishwa na amekuwa kiumbe kipya 2kor 5:17 sasa hiki kiumbe kipya kina asili mpya ya
Mungu na hakuna awezaye kuyaharibu tena sio kifo wala magonjwa 1Yn 4:4 Maisha
yake yanatenda Kiungu.
Mk 16:17—18 elewa sio ahadi bali ni udhihirisho wa ukweli {statement if
fact} uwapo imeokoka Yesu yupo ndani yako wewe sio mtumwa wa magonjwa tena
[your no longer subject to disease]
MAKUSANYIKO YA MAMIA WATU WAKIMKABIDHI YESU MAISHA YAO MUNGU ANAONEKANA KWA JINA LAKE
MTUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA AKIFANYA HUDUMA YA MAOMBEZI KWA WENYE SHIDA MBALIMBALI KATIKA MKUTANO HUKU MAMIA YA WATU WAKIMKABIDHI YESU MAISHA YAO
KIDOLE CHA MUNGU KIKIKUGUSA HAKUNA NGUVU YOYOTE INAYOWEZA KUSIMAMA
MKUTANO MKUBWA WA INJILI WELEI KOROGWE MKOA WA TANGA NJIA YA KUELEKEA LUTINDI TUNAWAKARIBISHA WATU WOTE WA KABILA ZOTE NA DINI ZOTE NJOO USHUHUDIE MAAJABU YA MUNGU NA UWEZA WAKE
WTUMISHI WA MUNGU YOHANA KANGAJAKA PAMOJA NA EV. HIZA NGULIZI WATAHUDUMU PAMOJA KWAYA MBALIMBALI NA WAIMBAJI MBALIMBALI KUTOKA DAR ES SALAAM, DODOMA PAMOJA NA TIMU YA PRAISE AND WORSHIP KUTOKA KOROGWE TANGA