Jumatatu, 1 Julai 2013

MWENDELEZO WA UFUNUO

Ilipoishia...................
Mungu anataka afanye matembezi yake  kukombolewa kwa roho ya ubinafsi ana mazoea hii inafanya kunyoshea baadhi ya watu mikono mana sio wale tuliwatazamia kufanya au kufanyika katika lile tulilo tazamia,Ondoa mazoea ya kale anatembea kwa njia mpya usiwe na hamaki hakikisha unaungwa na nira yake ili usije bakia mhudumu wa andiko bali wa roho nwe utakuwa na usawa na bwana mtavuta pamoja kusudio lake hapo tutaelewa mahusiano kamili ya andiko

Hakuna maoni: